FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Daah, walipata wapi password?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani kama kuna ubongo ndani ya fuvu la kichwa chako, no way!Hivi hawa mapdre sio ndo wanahubiri kwenda mbinguni? Utaendaje mbinguni ukiwa unaogopa kifo
Somo lako limelenga nini mkuu? Tupe ufafanuziBwana akamwambia Yusuph katika njozi ya usiku, warudisheni mtoto na mama yake nyumbani, kwani yule dhalimu (Herode) aliyetaka kumuua mtoto (Yesu) tayari amekufa
Kosa lake ni la wizi wa kimtandao ile ya Nigerian styleTafadhali naombeni mnichambulie hii video kwa kituo.
mtanzania.co.tz
Acha kujitoa ufahamu basi! Watu wametumiwa hela na wanafahamika! Polisi imeacha kuwakamata. Halafu unaongea kama umekunywa komoni vike! Kwani ugumu uko wapi kwa polisi wa kitengo cha wizi wa mtandaoni kulichunguza hilo tukio kwa kina ili ukweli ujulikane?Kosa lake ni la wizi wa kimtandao ile ya Nigerian style
Wale hutumia emai fake yeye yakwr original waliwezaje kuiingilia nina wasiwasi hapo.Si kitu rahisi kuna kitu anaficha
Pili mara ya kwanza wameiba kwa western Unio kwa jina lake nafikiri mara ya pili wakamwbia fungua akaunti akaenda kufungua zikaingia baada ya kuingia na kutoa ndipo akaua mchezo kwa kufu gua jalada kuwa akaunti mehaliwa na si yeye akakimbia
Si angebaki upelelezi hadi ukamilike ?
lakini pia kifo ha mdogo wake nanusa kama kuna mchexo mchafu wa kupoteza ushahidi huyo atakuwa na siri za kaka yake nyingi .Yawezekana huyu kaka yake alikuwa sehemu ya mtandao wa wizi wa mtandaonibaada ya kuona kaka yao kakimbia wakahisi huyo fpgo labda aweza eleza kila kitu kwenye mamlaka husika
Anaposema mamlaka za Tanzania zimemfungia mawasiliano yote ya email nk sasa alitakaje hata line inayotumika kuibia watu huwa inakuwa blocked alitaka ziwe wazi watu waendelee kuibiwa?
Arudi tu aripoti polisi upelelezi uendelee
Wewe kama ni mmoja ya hao matapeli, ujiandae tu kwenda kunyea debe. Hakuna utaratibu kama huo wa kuwalea vibaka na matapeli. Tunataka sheria ifuate mkondo wake!Mzizi mkavu hii issue ni ya mwaka 2016, na kwa sheria za Kikatoliki huyu Paroko wa Lupilo yupo nje ya eneo la kazi tangu mgogoro uanze
Ukishastaki Polisi kuwa umeibiwa chochote ilinalibaki ni la Jamhuri
(huwezi mkamata mwizi wa ngombe kule ukaleta ngozi ya ng'ombe huku ukawaambia Polisi mwambieni mwizi amrudishe ng'ombe wanga)
Ningemshauri Padre Pius Luhengo (kutokana na Clip)
Aache kuzitaja hizo Dola zilizotumwa kwa wizi kuwa ni za kwakeAache kutaja a/c zilzofunguliwa enki ili kuchota pesa kuwa ni za kwakeHizo pesa zote wezi wameshagawana kwa hiyo asitegemee kuna aliyebaki akashtakiwaArudi tu Lupilo Mahenge akaendelee na maisha na afute mambo ya kuumwa figo km rafikize walivyodanganywasiri ya kuianika e-mail yake ni yeye mwenyewe na ndugu zakeNimefuatilia hili Gazeti inaonesha bado ana bifu na matapeli waliokula pesa zake
![]()
WEZI WATEKA AKAUNTI YA PADRI, WAIBA MAMILIONI - Mtanzania
Mtanzania WEZI WATEKA AKAUNTI YA PADRI, WAIBA MAMILIONI -mtanzania.co.tz
Daah kuna watu na viatu!Mzizi mkavu hii issue ni ya mwaka 2016, na kwa sheria za Kikatoliki huyu Paroko wa Lupilo yupo nje ya eneo la kazi tangu mgogoro uanze
Ukishastaki Polisi kuwa umeibiwa chochote ilinalibaki ni la Jamhuri
(huwezi mkamata mwizi wa ngombe kule ukaleta ngozi ya ng'ombe huku ukawaambia Polisi mwambieni mwizi amrudishe ng'ombe wanga)
Ningemshauri Padre Pius Luhengo (kutokana na Clip)
Aache kuzitaja hizo Dola zilizotumwa kwa wizi kuwa ni za kwakeAache kutaja a/c zilzofunguliwa enki ili kuchota pesa kuwa ni za kwakeHizo pesa zote wezi wameshagawana kwa hiyo asitegemee kuna aliyebaki akashtakiwaArudi tu Lupilo Mahenge akaendelee na maisha na afute mambo ya kuumwa figo km rafikize walivyodanganywasiri ya kuianika e-mail yake ni yeye mwenyewe na ndugu zakeNimefuatilia hili Gazeti inaonesha bado ana bifu na matapeli waliokula pesa zake
![]()
WEZI WATEKA AKAUNTI YA PADRI, WAIBA MAMILIONI - Mtanzania
Mtanzania WEZI WATEKA AKAUNTI YA PADRI, WAIBA MAMILIONI -mtanzania.co.tz
Nanusa kitu kimoja wezi wa mtandaoni wamedhulumiana ila wanafahamiana kuanzia huyo padre wanamjua na yeye anawajua kifupi wanajuana ila wamezikana hela mgao.baada ya mchongo haukufika kwa padre master mind vijana wa mjini wakatokomea na pesaAcha kujitoa ufahamu basi! Watu wametumiwa hela na wanafahamika! Polisi imeacha kuwakamata. Halafu unaongea kama umekunywa komoni vike! Kwani ugumu uko wapi kwa polisi wa kitengo cha wizi wa mtandaoni kulichunguza hilo tukio kwa kina ili ukweli ujulikane?
Au kwa sababu huyo Padre hakutoa rushwa kama hao wezi wa hizo fedha? Umeshawahi kutishiwa kuuwawa katika maisha yako? Kuna mwanadamu asiye penda kuishi?
Huu mwezi utakua mrefu, ripoti ya cag inasomwa, huku ole sabaya si muda mchache atatiwa nguvuni na jeshi la polisi,Kuna mambo ya ajabu nchi hii na hii yote ni jiwe na tiss, polisi aliowapa mamlaka ya kuua kuhulumu
Kazi ya CHATO GANGHuyo Padre alibambikiwa kesi kwa jina la uhujumu uchumi ambapo anadai kuna maaskari maalum walihack email zake na kutuma kwa marafiki zake huko duniani kiasi cha usd 15+ elfu zikatumwa kwa njia ya WU na zikatolewa UBA na benki nyingine mbili, pia hawakuishia hapo waliwatumia email pia ili wamtumia kiasi ya dola laki mbili ili ajenge kanisa huko Lupilo alikokuwa akihudumu kama Paroko. Anawajua wahusika na waliwahi kumuua mdogo wake hivyo anamuomba mama na VP wamsaidie
bado mama ana ka element ka kuwalida wateule wa Jwe, vingnevyo kuna watu wangelikuwa wameshatmuliwa kwa matendo yao dhalimu ya waziHuu mwezi utakua mrefu, ripoti ya cag inasomwa, huku ole sabaya si muda mchache atatiwa nguvuni na jeshi la polisi,
Bahati mbaya hulifahamu Kanisa Katoliki na ndiyo maana unaongea tu kwa mazoea! Ngoja nikufahamishe kidogo! Ishu iliyopo ni kwamba, kwa miaka nenda!Nanusa kitu kinoja wezi wa mtandaoni wamedhulumiana ila wanafahamiana kuanzia huyo padre wanamjua na yeye anawajua kifupi wanajuana ila wamezikana hela mgao.baada ya mchongo haukufika kwa padre master mind vijana wa mjini wakatokomea na pesa
Ndoo.maana akapiga stop zile dola laki mbili zisiingie
Kanisa katoliki huwa halipendi kuchafuliwa yawezekana ndio liliagiza uchunguzi ufungwe kwa kuona kuna utapeli .Padre pesa huwa za shirika sio zake binafsi kitendo cha yeye kusema zake mmm ndio maana unaona kanisa liko kimya.Aongee na Askofu wake je huo uchunguzi uendelee? Amwambie tu aiandikie Barua polisi waendelee na uchunguzi na yeye arudi akaripoti kwa Askofu wake
Majibu na kinachoendelea awe anapewa feedback na Askofu wake
Huyu kweli ni Padri? Kama ndio, kwa nini hasianze kuomba ulinzi kutoka kwa Yesu Kristo mfufuka? Sawa, labda kesha omba na kupewa maelekezo hayo anayoyasema. Lakini, hilo genge lisijekuwa la mapadri wenzake ukizingatia alikuwa Paroko na kuwa na mafungu yote ya fedha za parokia.
Yesu mwenyewe alipokuwa kuwa kichanga Mungu alituma ujumbe wa malaika kuwaeleza wazazi wake wakimbie wakajifiche misri kukwepa mkono wa herode!!!kwani unadhani Mungu alishindwa kumlinda Yesu mpaka atume ujumbe kuwa ajifiche!!!Kumbuka mashahidi wa Uganda walikuwaje? Yohana aliuawa kwa kukatwa kichwa, Ukiwa mfuasi wa Yesu, na unaamini kuwa unatetea imani huwezi kuogopa kufa kwa ajili hiyo. Kama kweli huyo Padre alikuwa anafanya mema kwa kondoo zake, kwa nini akimbie?? Kuna kitu kimejificha, inawezekana kuna mchezo mchafu alikuwa anajihusisha hasa kutakatisha fedha kwa mgongo wa kanisa!!
Angalia hapa .naclick video inagoma..sijui app Yangu ina tatzo gani
Nadhani kuna mbinu anaitumia, anakutafutia kona flan nzuri ya kukuulia mbali ...bado mama ana ka element ka kuwalida wateule wa Jwe, vingnevyo kuna watu wangelikuwa wameshatmuliwa kwa matendo yao dhalimu ya wazi