Video: Padri Pascal Luhengo wa jimbo la Mahenge Morogoro amuomba msaada Rais Samia Suluhu baada ya kukimbia nchi na kwenda mafichoni

kwani wanigeria wanapohack account yako huwa wanapata wapi password? unataka kutuaminisha kwamba hapa tz hakuna vijana wasomi wazuri wa IT wanaoweza kufanya maajabu kama ya kuhack email tu ya mtu?
 
Tafadhali naombeni mnichambulie hii video kwa kituo.
Kosa lake ni la wizi wa kimtandao ile ya Nigerian style

Wale hutumia emai fake yeye yakwr original waliwezaje kuiingilia nina wasiwasi hapo.Si kitu rahisi kuna kitu anaficha

Pili mara ya kwanza wameiba kwa western Unio kwa jina lake nafikiri mara ya pili wakamwbia fungua akaunti akaenda kufungua zikaingia baada ya kuingia na kutoa ndipo akaua mchezo kwa kufu gua jalada kuwa akaunti mehaliwa na si yeye akakimbia

Si angebaki upelelezi hadi ukamilike ?

lakini pia kifo ha mdogo wake nanusa kama kuna mchexo mchafu wa kupoteza ushahidi huyo atakuwa na siri za kaka yake nyingi .Yawezekana huyu kaka yake alikuwa sehemu ya mtandao wa wizi wa mtandaonibaada ya kuona kaka yao kakimbia wakahisi huyo fpgo labda aweza eleza kila kitu kwenye mamlaka husika

Anaposema mamlaka za Tanzania zimemfungia mawasiliano yote ya email nk sasa alitakaje hata line inayotumika kuibia watu huwa inakuwa blocked alitaka ziwe wazi watu waendelee kuibiwa?

Arudi tu aripoti polisi upelelezi uendelee
 
Mzizi mkavu hii issue ni ya mwaka 2016, na kwa sheria za Kikatoliki huyu Paroko wa Lupilo yupo nje ya eneo la kazi tangu mgogoro uanze
Ukishastaki Polisi kuwa umeibiwa chochote ilinalibaki ni la Jamhuri
(huwezi mkamata mwizi wa ngombe kule ukaleta ngozi ya ng'ombe huku ukawaambia Polisi mwambieni mwizi amrudishe ng'ombe wanga)
Ningemshauri Padre Pius Luhengo (kutokana na Clip)
Aache kuzitaja hizo Dola zilizotumwa kwa wizi kuwa ni za kwake​
Aache kutaja a/c zilzofunguliwa enki ili kuchota pesa kuwa ni za kwake​
Hizo pesa zote wezi wameshagawana kwa hiyo asitegemee kuna aliyebaki akashtakiwa​
Arudi tu Lupilo Mahenge akaendelee na maisha na afute mambo ya kuumwa figo km rafikize walivyodanganywa​
siri ya kuianika e-mail yake ni yeye mwenyewe na ndugu zake​
Nimefuatilia hili Gazeti inaonesha bado ana bifu na matapeli waliokula pesa zake
 
Acha kujitoa ufahamu basi! Watu wametumiwa hela na wanafahamika! Polisi imeacha kuwakamata. Halafu unaongea kama umekunywa komoni vike! Kwani ugumu uko wapi kwa polisi wa kitengo cha wizi wa mtandaoni kulichunguza hilo tukio kwa kina ili ukweli ujulikane?

Au kwa sababu huyo Padre hakutoa rushwa kama hao wezi wa hizo fedha? Umeshawahi kutishiwa kuuwawa katika maisha yako? Kuna mwanadamu asiye penda kuishi?
 
Wewe kama ni mmoja ya hao matapeli, ujiandae tu kwenda kunyea debe. Hakuna utaratibu kama huo wa kuwalea vibaka na matapeli. Tunataka sheria ifuate mkondo wake!

Haki ni lazima ipatikane.
 
Mzizi mkavu hii issue ni ya mwaka 2016, na kwa sheria za Kikatoliki huyu Paroko wa Lupilo yupo nje ya eneo la kazi tangu mgogoro uanze
Ukishastaki Polisi kuwa umeibiwa chochote ilinalibaki ni la Jamhuri
(huwezi mkamata mwizi wa ngombe kule ukaleta ngozi ya ng'ombe huku ukawaambia Polisi mwambieni mwizi amrudishe ng'ombe wanga)
Ningemshauri Padre Pius Luhengo (kutokana na Clip)
Aache kuzitaja hizo Dola zilizotumwa kwa wizi kuwa ni za kwake​
Aache kutaja a/c zilzofunguliwa enki ili kuchota pesa kuwa ni za kwake​
Hizo pesa zote wezi wameshagawana kwa hiyo asitegemee kuna aliyebaki akashtakiwa​
Arudi tu Lupilo Mahenge akaendelee na maisha na afute mambo ya kuumwa figo km rafikize walivyodanganywa​
siri ya kuianika e-mail yake ni yeye mwenyewe na ndugu zake​
Nimefuatilia hili Gazeti inaonesha bado ana bifu na matapeli waliokula pesa zake
Daah kuna watu na viatu!
Arudi tu bila kuwa na uhakika hata wa usalama wake!?

Walioiba hizo pesa wazitapike! Hata kama zitaenda kwa DPP, ziende, ila WEZI wawajibishwe! WAFILISIWE IKIBIDI

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Acha kujitoa ufahamu basi! Watu wametumiwa hela na wanafahamika! Polisi imeacha kuwakamata. Halafu unaongea kama umekunywa komoni vike! Kwani ugumu uko wapi kwa polisi wa kitengo cha wizi wa mtandaoni kulichunguza hilo tukio kwa kina ili ukweli ujulikane?

Au kwa sababu huyo Padre hakutoa rushwa kama hao wezi wa hizo fedha? Umeshawahi kutishiwa kuuwawa katika maisha yako? Kuna mwanadamu asiye penda kuishi?
Nanusa kitu kimoja wezi wa mtandaoni wamedhulumiana ila wanafahamiana kuanzia huyo padre wanamjua na yeye anawajua kifupi wanajuana ila wamezikana hela mgao.baada ya mchongo haukufika kwa padre master mind vijana wa mjini wakatokomea na pesa

Ndoo.maana akapiga stop zile dola laki mbili zisiingie

Kanisa katoliki huwa halipendi kuchafuliwa yawezekana ndio liliagiza uchunguzi ufungwe kwa kuona kuna utapeli na kanisa lisichafuke .Padre pesa huwa za shirika sio zake binafsi kitendo cha yeye kusema zake mmm ndio maana unaona kanisa liko kimya.Aongee na Askofu wake je huo uchunguzi uendelee? Amwambie tu aiandikie Barua polisi waendelee na uchunguzi na yeye arudi akaripoti kwa Askofu wake
Majibu na kinachoendelea awe anapewa feedback na Askofu wake
 
Huyo Padre alibambikiwa kesi kwa jina la uhujumu uchumi ambapo anadai kuna maaskari maalum walihack email zake na kutuma kwa marafiki zake huko duniani kiasi cha usd 15+ elfu zikatumwa kwa njia ya WU na zikatolewa UBA na benki nyingine mbili, pia hawakuishia hapo waliwatumia email pia ili wamtumia kiasi ya dola laki mbili ili ajenge kanisa huko Lupilo alikokuwa akihudumu kama Paroko. Anawajua wahusika na waliwahi kumuua mdogo wake hivyo anamuomba mama na VP wamsaidie
Kazi ya CHATO GANG
 
Huu mwezi utakua mrefu, ripoti ya cag inasomwa, huku ole sabaya si muda mchache atatiwa nguvuni na jeshi la polisi,
bado mama ana ka element ka kuwalida wateule wa Jwe, vingnevyo kuna watu wangelikuwa wameshatmuliwa kwa matendo yao dhalimu ya wazi
 
Nanusa kitu kinoja wezi wa mtandaoni wamedhulumiana ila wanafahamiana kuanzia huyo padre wanamjua na yeye anawajua kifupi wanajuana ila wamezikana hela mgao.baada ya mchongo haukufika kwa padre master mind vijana wa mjini wakatokomea na pesa

Ndoo.maana akapiga stop zile dola laki mbili zisiingie

Kanisa katoliki huwa halipendi kuchafuliwa yawezekana ndio liliagiza uchunguzi ufungwe kwa kuona kuna utapeli .Padre pesa huwa za shirika sio zake binafsi kitendo cha yeye kusema zake mmm ndio maana unaona kanisa liko kimya.Aongee na Askofu wake je huo uchunguzi uendelee? Amwambie tu aiandikie Barua polisi waendelee na uchunguzi na yeye arudi akaripoti kwa Askofu wake
Majibu na kinachoendelea awe anapewa feedback na Askofu wake
Bahati mbaya hulifahamu Kanisa Katoliki na ndiyo maana unaongea tu kwa mazoea! Ngoja nikufahamishe kidogo! Ishu iliyopo ni kwamba, kwa miaka nenda!

Mapadre wa Kanisa Katoliki wamekuwa na utaratibu wa kutafuta marafiki na wafadhili nje ya nchi wakati wanapokuwa Seminari kuu (Mafrateli) wakiwa katika hatua ya ushemasi, lakini pia wakiwa Mapadre!

Marafiki/Wafadhili hao huwasaidia katika masuala mbalimbali, kama kuwatumia fedha, magari kwa ajili ya kwenda kutolea huduma kwenye Vigango, nguo kwa ajili ya kuwagawia wenye mahitaji maalum, nk.

Hivyo kilichotokea kwa huyo Padre ni wizi wa kimtandao ambao ulifanywa na matapeli kwa msaada wa siri kutoka kwa baadhi ya watu walio mzunguka huyo Father, na wanao tambua fika ya kwamba ana marafiki/wafadhili wanao msaidia mara kwa mara.

Padre anataka haki itendeke! Hofu iko wapi? Kama ameshirikiana na hao matapeli, si vyombo husika vitakuja kutoa majibu baada ya kufanya huo upelelezi kwa kina na kuwatia nguvuni wahusika wote!
 
Huyu kweli ni Padri? Kama ndio, kwa nini hasianze kuomba ulinzi kutoka kwa Yesu Kristo mfufuka? Sawa, labda kesha omba na kupewa maelekezo hayo anayoyasema. Lakini, hilo genge lisijekuwa la mapadri wenzake ukizingatia alikuwa Paroko na kuwa na mafungu yote ya fedha za parokia.

Swali la msingi, chanzo cha jambo hili ni nini? Mahubiri?
 
Kumbuka mashahidi wa Uganda walikuwaje? Yohana aliuawa kwa kukatwa kichwa, Ukiwa mfuasi wa Yesu, na unaamini kuwa unatetea imani huwezi kuogopa kufa kwa ajili hiyo. Kama kweli huyo Padre alikuwa anafanya mema kwa kondoo zake, kwa nini akimbie?? Kuna kitu kimejificha, inawezekana kuna mchezo mchafu alikuwa anajihusisha hasa kutakatisha fedha kwa mgongo wa kanisa!!
Yesu mwenyewe alipokuwa kuwa kichanga Mungu alituma ujumbe wa malaika kuwaeleza wazazi wake wakimbie wakajifiche misri kukwepa mkono wa herode!!!kwani unadhani Mungu alishindwa kumlinda Yesu mpaka atume ujumbe kuwa ajifiche!!!
 
bado mama ana ka element ka kuwalida wateule wa Jwe, vingnevyo kuna watu wangelikuwa wameshatmuliwa kwa matendo yao dhalimu ya wazi
Nadhani kuna mbinu anaitumia, anakutafutia kona flan nzuri ya kukuulia mbali ...
 
Back
Top Bottom