Video: Papa Francis aonekana kwa mara ya kwanza hadharani kupitia dirisha hospitalini

Video: Papa Francis aonekana kwa mara ya kwanza hadharani kupitia dirisha hospitalini

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Papa Francis (88) amejitokeza kwa mara ya kwanza hadharani baada ya kulazwa kwa wiki tano kutokana na nimonia kali iliyohatarisha maisha yake. Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki atatoa baraka kutoka Hospitali ya Gemelli, Rome, kabla ya kurejea Vatican kwa mapumziko ya miezi miwili.

1742734478730.jpeg
Daktari wake, Dk. Luigi Carbone, amesema Papa anaendelea kupata nafuu na ataweza kurejea katika majukumu yake taratibu. Ingawa ugonjwa wake umetibiwa, ataendelea kutumia dawa na kupokea tiba ya upumuaji. "Anafuraha sana kurudi nyumbani," alisema Carbone.

 
Back
Top Bottom