Nasikia Dulla ameonekana mahali na Rushayna
😂😂 kama ni hivo ngoma droo washindane mahaba ya social media sasa mapenz ya contentNasikia Dulla ameonekana mahali na Rushayna
Nakazia japo mitandao ndio kula yake.Wapunguze kupostiana mitandaoni, watu kibao tu wanafanyiwa hayo na wake zao tena na zaidi ila hamna haja ya kupost kila kitu.
Wana mambo ya kitoto sana.Wapunguze kupostiana mitandaoni, watu kibao tu wanafanyiwa hayo na wake zao tena na zaidi ila hamna haja ya kupost kila kitu.
Kula hadi kwa kupost private life yake aah amezidi bana, anaboa sometimesNakazia japo mitandao ndio kula yake.
Content hiyoWapunguze kupostiana mitandaoni, watu kibao tu wanafanyiwa hayo na wake zao tena na zaidi ila hamna haja ya kupost kila kitu.
Utoto bana, wenye nia ya kukomesha watamwibia abaki analia hadi kuzimia😀Wana mambo ya kitoto sana.
Aah content isiyo na maana yoyote ni kero kwa wengineContent hiyo
Sasa haji ana pesa gani? Nweiii usiseme nna wivu au nitafute pesa.Ila Haji ashukuru sana kuwa na pesa. Vinginevyoo...[emoji3]
Naamini hiii ID ni Manara Mwenyewe maaana kutwa kucha ni kujiposti inshu zake za Kimsukure tu, tangu ifunguliwe hapa JF kutwa kucha ni Manarwaa manarwaaa. Mwanaume kamili hawez penda attention kiasi kuna walakini huyu mwamba atakuwa anafumuliwa linda kama nyepesi nyepesi zinavyodaiHaji Manara aendelea kuneemeka na penzi la Mke wake Zailyssa, kupitia ukurasa wake wa Insta Haji Manara ame-share video inayomuonyesha akifanyiwa usafi wa miguu na Mke wake Zailyssa.
Ameandika Manara, "Kupendwa Raha nyie, Siku mbili tu nimeongezeka kilo kumi dadadeki, Sijui nilichelewa wapi kumjua huyu Zai!! Imagine leo nimekandwa hadi na hiliki ndani ya Maji 🤪🤪
Zailyssa ❤️ Watu wa Tanga mna sifa sana nyie"
ANGALIA VIDEO HAPA
View attachment 2884391
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1
Yule anafanya vile kuwaprove wrong waliomuacha, nahisi ni mhanga wa afya ya akili.Kula hadi kwa kupost private life yake aah amezidi bana, anaboa sometimes