Video: Penzi la Kitanga lamnenepesha Haji Manara

Video: Penzi la Kitanga lamnenepesha Haji Manara

Wapunguze kupostiana mitandaoni, watu kibao tu wanafanyiwa hayo na wake zao tena na zaidi ila hamna haja ya kupost kila kitu.
This is how business operates….stopping them is stopping their business…! They won’t get sponsors….! This is busines
 
This is how business operates….stopping them is stopping their business…! They won’t get sponsors….! This is busines
Wacheze porn sasa
Wafyatuane kabisa
Maana kwa matukio yao
Wabongo watazichoka
Sahv manara inabd afanye jambo
Na hyo dem sjui mke wake wabongo wote waone

Ova
 
Do you know how this video got here?

Imagine asking a person to record you being washed your legs

Then do a close up of a “khanga” with it being at the correct position so as to get the words clearly and on top of that act you’re busy watching telly on top of all that fake acting

All of this just so he can satisfy himself that he is loved

He is trying to make us believe he is loved dearly while i think he himself wants to believe in that lie

What a stupid era we live in
 
Hahaha, ila kuna wanawake majasiri jmn. Kuna vitu nikiimajin simalizi naishia njiani. [emoji1751][emoji1751][emoji1751]
Njaa mbaya sana.!! Unaweza kujiweka sehemu ikifika usiku unasikitika na kujionea huruma mwenyewe.

Afande alisema, “Adui muombee njaa, atanyoosha mikono juu hata km alikuwa shujaa”
 
Njaa mbaya sana.!! Unaweza kujiweka sehemu ikifika usiku unasikitika na kujionea huruma mwenyewe.

Afande alisema, “Adui muombee njaa, atanyoosha mikono juu hata km alikuwa shujaa”
Hahaha. Kuta za nyumba zinahifadhi mengi sana.

If only walls could talk.

Sasa umpate demu ambaye anajua kucheza na kudhibit feelings zako wee.

Ndo maana mimi nikilemewa ni kuvuta bangi tu na kukera wengine napata faraja na unafuu.
 
Kweli umetoka kuvuta bange
 
Kweli umetoka kuvuta bange
Ni kweli kabisa. Hata sasa hivi navyoandika hii reply Moshi unasambaa tu kwenye mapafuu nakuniletea hali flani hivi ya ushujaa na kujiamini.

Bangi, pesa na mbususu/ngono ndo ukamilifu wa ubinadamu
 
Safi s
Haji Manara aendelea kuneemeka na penzi la Mke wake Zailyssa, kupitia ukurasa wake wa Insta Haji Manara ame-share video inayomuonyesha akifanyiwa usafi wa miguu na Mke wake Zailyssa.

Ameandika Manara, "Kupendwa Raha nyie, Siku mbili tu nimeongezeka kilo kumi dadadeki, Sijui nilichelewa wapi kumjua huyu Zai!! Imagine leo nimekandwa hadi na hiliki ndani ya Maji 🤪🤪

Zailyssa ❤️ Watu wa Tanga mna sifa sana nyie"

ANGALIA VIDEO HAPA
View attachment 2884391

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1
Safii
 
Okay
 
Sijaona mtu mshamba kama zungu pori.
 
Back
Top Bottom