Video: Penzi la Kitanga lamnenepesha Haji Manara

Video: Penzi la Kitanga lamnenepesha Haji Manara

Haji Manara aendelea kuneemeka na penzi la Mke wake Zailyssa, kupitia ukurasa wake wa Insta Haji Manara ame-share video inayomuonyesha akifanyiwa usafi wa miguu na Mke wake Zailyssa.

Ameandika Manara, "Kupendwa Raha nyie, Siku mbili tu nimeongezeka kilo kumi dadadeki, Sijui nilichelewa wapi kumjua huyu Zai!! Imagine leo nimekandwa hadi na hiliki ndani ya Maji [emoji2957][emoji2957]

Zailyssa [emoji3590] Watu wa Tanga mna sifa sana nyie"

ANGALIA VIDEO HAPA
View attachment 2884391

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1
Nadhani Manara anaumwa na hivi unavyozidi kumpost ndio mnazidi kumpoteza mjue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wandewa wanafanya timing tuu.. Mke sio bidhaa afanyiwe promotion mitandaoni

Sent using Jamii Forums mobile app
Ankal tuanzishie uzi wa mafoto ila Mademu wa Mr Miongozo wote marufuku kuchangia uzi mpaka Miongozo akae na wake zake wamalize migogoro yao ya kifamilia 😜

Nimehuzunika sana kurudi nimekuta uzi umefungiwa 😏
 
Haji Manara aendelea kuneemeka na penzi la Mke wake Zailyssa, kupitia ukurasa wake wa Insta Haji Manara ame-share video inayomuonyesha akifanyiwa usafi wa miguu na Mke wake Zailyssa.

Ameandika Manara, "Kupendwa Raha nyie, Siku mbili tu nimeongezeka kilo kumi dadadeki, Sijui nilichelewa wapi kumjua huyu Zai!! Imagine leo nimekandwa hadi na hiliki ndani ya Maji 🤪🤪

Zailyssa ❤️ Watu wa Tanga mna sifa sana nyie"

ANGALIA VIDEO HAPA
View attachment 2884391

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1
Vitu vingine....... kuna umri ukipita utaishia kuchekesha watu. Kwani akikaa kimya anapungukiwa nini........ ila kwa jinsi tumjuavyo hawezi kukaa na mke kipindi kirefu.....
 
Back
Top Bottom