Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Na kwa wengine ni content..ujue watanzania wengi ni mazuzuz?Aah content isiyo na maana yoyote ni kero kwa wengine
Basi atakua ana tatizoYule anafanya vile kuwaprove wrong waliomuacha, nahisi ni mhanga wa afya ya akili.
Zai kapata mzungu kutoka Greece ya uzaramuni π€£π€£[emoji23][emoji23][emoji23] wee uduguu em ongeza sauti, eti nn?
π€£π€£π€£ wameniuzi uzi umefungwa kwasababu ya migogoro yao ya kifamilia..![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu kwann lakini??
Sijui nikaoe hukoπsema takufa na wivu bora nioe hawa hawa wanaowaza kuongeza masters miuno zeroTanga si unaisikia lakini kaka? Huko ndo mapenzi yalikozaliwa..!! Kushindia khanga moko sio shida zao πππ
ππ ni kweli lkn wabongo ndiyo vitu tunapenda hivyoNa kwa wengine ni content..ujue watanzania wengi ni mazuzuz?
ππUzi Closed!
Ankal tuanzishie uzi wa mafoto ila Mademu wa Mr Miongozo wote marufuku kuchangia uzi mpaka Miongozo akae na wake zake wamalize migogoro yao ya kifamilia [emoji12]
Nimehuzunika sana kurudi nimekuta uzi umefungiwa [emoji57]
Hahahahaππ ni kweli lkn wabongo ndiyo vitu tunapenda hivyo
[emoji3][emoji3]
Tatizo analo kwa anayoyafanya kuna namna hayupo sawa.Basi atakua ana tatizo
Nzuri tu mkuu, habari ya huko ulipo?.Za Siku Nyingi Lakini?
Ndio maana Mange anawapiga hela kufuatilia mambo hayo .ππ ni kweli lkn wabongo ndiyo vitu tunapenda hivyo
Kwani alivyokuwa na waliomuacha hakuna ana postYule anafanya vile kuwaprove wrong waliomuacha, nahisi ni mhanga wa afya ya akili.