Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
This is how business operates….stopping them is stopping their business…! They won’t get sponsors….! This is businesWapunguze kupostiana mitandaoni, watu kibao tu wanafanyiwa hayo na wake zao tena na zaidi ila hamna haja ya kupost kila kitu.
Wacheze porn sasaThis is how business operates….stopping them is stopping their business…! They won’t get sponsors….! This is busines
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mseme nshakuwa chawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona mabwaku.Zai kapata mzungu kutoka Greece ya uzaramuni [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu mbna pambeeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wameniuzi uzi umefungwa kwasababu ya migogoro yao ya kifamilia..!
Si awape vyeo kila mtu ajue nafasi yake, nani bi mkubwa na nani bi mdogo na michepuko nayo ijijue
Njaa mbaya sana.!! Unaweza kujiweka sehemu ikifika usiku unasikitika na kujionea huruma mwenyewe.Hahaha, ila kuna wanawake majasiri jmn. Kuna vitu nikiimajin simalizi naishia njiani. [emoji1751][emoji1751][emoji1751]
Mkuu umesema kweli kabisa.Tabia halisi ya mtu Hadi uishi nae,
Hahaha. Kuta za nyumba zinahifadhi mengi sana.Njaa mbaya sana.!! Unaweza kujiweka sehemu ikifika usiku unasikitika na kujionea huruma mwenyewe.
Afande alisema, “Adui muombee njaa, atanyoosha mikono juu hata km alikuwa shujaa”
Kweli umetoka kuvuta bangeHahaha. Kuta za nyumba zinahifadhi mengi sana.
If only walls could talk.
Sasa umpate demu ambaye anajua kucheza na kudhibit feelings zako wee.
Ndo maana mimi nikilemewa ni kuvuta bangi tu na kukera wengine napata faraja na unafuu.
Ni kweli kabisa. Hata sasa hivi navyoandika hii reply Moshi unasambaa tu kwenye mapafuu nakuniletea hali flani hivi ya ushujaa na kujiamini.Kweli umetoka kuvuta bange
SafiiHaji Manara aendelea kuneemeka na penzi la Mke wake Zailyssa, kupitia ukurasa wake wa Insta Haji Manara ame-share video inayomuonyesha akifanyiwa usafi wa miguu na Mke wake Zailyssa.
Ameandika Manara, "Kupendwa Raha nyie, Siku mbili tu nimeongezeka kilo kumi dadadeki, Sijui nilichelewa wapi kumjua huyu Zai!! Imagine leo nimekandwa hadi na hiliki ndani ya Maji 🤪🤪
Zailyssa ❤️ Watu wa Tanga mna sifa sana nyie"
ANGALIA VIDEO HAPA
View attachment 2884391
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1
OkayHaji Manara aendelea kuneemeka na penzi la Mke wake Zailyssa, kupitia ukurasa wake wa Insta Haji Manara ame-share video inayomuonyesha akifanyiwa usafi wa miguu na Mke wake Zailyssa.
Ameandika Manara, "Kupendwa Raha nyie, Siku mbili tu nimeongezeka kilo kumi dadadeki, Sijui nilichelewa wapi kumjua huyu Zai!! Imagine leo nimekandwa hadi na hiliki ndani ya Maji 🤪🤪
Zailyssa ❤️ Watu wa Tanga mna sifa sana nyie"
ANGALIA VIDEO HAPA
View attachment 2884391
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1
Waambie hao.....Wapunguze kupostiana mitandaoni, watu kibao tu wanafanyiwa hayo na wake zao tena na zaidi ila hamna haja ya kupost kila kitu.