Video: Performance ya Marioo kwenye tuzo za Trace ina shida gani? Kwanini mnasema kaaibisha taifa?

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Nilikuwa napitia pitia huko mitandaoni nimeona performance ya Marioo kwenye tuzo za Trace imepandisha sukari Watanzania.

Wengi wamemsifa Bien kuwa ameimba vizuri lakini huyu Marioo amempigwa sana mawe.

Binafsi nimeiangalia sijaona kitu chochote kibaya kwenye performance hiii.

Au aliimba off key?


Your browser is not able to display this video.
 
Kiufupi kaimba pumba,utopolo,ushuzi na ushubwada tu!!!
 
Kwa wabongo huwa hawaimbi tu mpaka walazimishe watu waimbe nao? Kila saa unakuta anaweka mic hewani waimbe mashabiki! Ndio nini??!! Hawa sijui hawawezi kuimba stejini!! sasa inabidi wazugezuge kulazimishia watu waimbe. Kama unaimba na kuperform vizuri, mashabiki wataimba tu wenyewe.
 
Mechi za mchangani hizi
 
Sema yeaaaaaah, wu wuuuuh, siwasikiii, tunaimba woteee, mikono juuuuuuuuuu, nawapenda sana, haya kushoto kulia, yes yes yes...

UTAPELI MTUPU.
Kama mleta mada hakuyaona haya bas macho yake yana matege
 
Tuna wasanii fake wamejaa kwenye main stream ila kiuhalisia uwezo wao ni mdogo sana na mmoja wao ni huyo tecno feki wa bongo bwana marioo,afu tunaanza kulalamika eti kwa nini muziki wetu haufiki mbali,radio presenter,ma dj uchwara na mameneja njaa wa bongo ndio wametufikisha hapa wanahonga sana pesa ili msanii awe mkubwa lakini kiuhalisia ni ushuzi mtupu.kuna madogo wapo huko underground wana uwezo mkubwa kuliko hao tunaowaita A-list wa bongo
 
Kinachombeba anatoa nyimbo zinazopendwa na ndio watanzania wanachoangalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…