Video Picha: Uwanja Mpya wa Michezo Dodoma

Mi nikisoma mateso ya nyumbu kama hv nabaki nacheka tu. Aisee hii mijitu iliyojaa wivu inateseka aisee na hatua madhubuti za kimaendeleo za mama Samia
 
Nimefika Dodoma, maeneo mengi hawana mgao wa maji kama Dsm,, hata umeme ni uhakika
 
Kwa hiyo kusipokuwepo mgao wa maji km Dsm hata km maji ni ya chumvi, hayatoshi na si salama kwa dodoma ni sawa..you r wrong!
Acha excuses za msingi wa chuki na kijinga wewe kisa anafanya usiyempenda ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Unasifia kwa lipi ni wajibu wa serikali kusimamia na kuleta maendeleo ndio kazi ya kodi sio mtu mmoja kumjaza sifa
Wengine walikuwa wapi kusimamia na kutekeleza hayo maendeleo?

Ulitaka Rais akifanya vyema atukanwe asisifiwe au? Hater unatapatapa ๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Kwa Samia mtateseka sana yaani Bado.
 
Ukurugenzi wa viwanja apewe Lucas Mwashambwa
M5T
 
Kwa macomputer image mko vizuri.
 
SAMAHANI MTOA POST HIVO VIWANJA ULIVYOTAJA VIPO NCHI HII NA VIMEFANYIWA UKARABATI?

Nyamagana na kirumba naona taa zinawaka hadi saa sita mchana.

AFADHALI UKICHAA KULIKO WEHUU HUU!
Wewe hater -ukarabati wa kiwanja sio lazima vifungwe taa.

-Uwanja wa Gwambina umefungiwa taa.
-Uwanja wa Majaliwa Stadium umefungiwa taa
-Uwanja wa Kaitaba umefungiwa taa
-Uwanja wa Mkwakwani umefungwa taa
-Uwanja wa Jamhuri Dodoma umefungwa taa.

Baadhi tuu ya viwanja vilivyofangiwa -ukarabati ni Lake Tanganyika,Ally Hassan Mwinyi,CCM Kirumba,Sokoime Mbeya, nk nk.

Acha chuki,Samia has no one to compare kama unajua mtaje .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ