Video Picha: Uwanja Mpya wa Michezo Dodoma

Video Picha: Uwanja Mpya wa Michezo Dodoma

..of all necessary priorities katika mji mkuu kiwanja cha mpira ndio kinahitajika sasa..? Maji je..yapo dodoma? Umeme wa dharula ku-back up umeme wa grid upo..? It's peculiar! Kila mahali kujenga..why? ni km kuna syndicate ya money laundering inasimamiwa na mamlaka. Michezo ina mchango gani kwenye uchumi wa nchi hadi kupewa nafasi hiyo kujenga viwanja? We have gone no where si riadha, futball, netball nk..then why wasting resources kwa jambo lisilo na tija kwenu..!
Mi nikisoma mateso ya nyumbu kama hv nabaki nacheka tu. Aisee hii mijitu iliyojaa wivu inateseka aisee na hatua madhubuti za kimaendeleo za mama Samia
 
..of all necessary priorities katika mji mkuu kiwanja cha mpira ndio kinahitajika sasa..? Maji je..yapo dodoma? Umeme wa dharula ku-back up umeme wa grid upo..? It's peculiar! Kila mahali kujenga..why? ni km kuna syndicate ya money laundering inasimamiwa na mamlaka. Michezo ina mchango gani kwenye uchumi wa nchi hadi kupewa nafasi hiyo kujenga viwanja? We have gone no where si riadha, futball, netball nk..then why wasting resources kwa jambo lisilo na tija kwenu..!
Nimefika Dodoma, maeneo mengi hawana mgao wa maji kama Dsm,, hata umeme ni uhakika
 
Kwa hiyo kusipokuwepo mgao wa maji km Dsm hata km maji ni ya chumvi, hayatoshi na si salama kwa dodoma ni sawa..you r wrong!
Acha excuses za msingi wa chuki na kijinga wewe kisa anafanya usiyempenda 😂😂
 
Unasifia kwa lipi ni wajibu wa serikali kusimamia na kuleta maendeleo ndio kazi ya kodi sio mtu mmoja kumjaza sifa
Wengine walikuwa wapi kusimamia na kutekeleza hayo maendeleo?

Ulitaka Rais akifanya vyema atukanwe asisifiwe au? Hater unatapatapa 😁😁

Kwa Samia mtateseka sana yaani Bado.
 
Hivi Kuna Rais amewahi fanya makubwa na kuleta mafanikio kwenye sekta ya Michezo,sana n burudani kumshinda Samia katika historia ya 🇹🇿?

Huwezi Kuta SSH akijigamba ila matokeo kwake ni makubwa sana ,mfano ni kwenye sekta ya ujenzi wa viwanja vya Michezo

-Ujenzi wa uwanja Mpya wa Mpira Arusha
-Ujenzi wa uwanja Mpya wa Mpira Dodoma
-Ujenzi wa uwanja Mpya wa Michezo KMC
-Ujenzi wa uwanja Mpya wa Michezo Meja Samunyo
-Ukarabati wa uwanja wa Benjamin Mkapa
-Ukarabati wa uwanja wa Uhuru (Shamba la Babi)
-Ujenzi wa viwanja vya Michezo kwenye Miji na Halmashauri mbalimbali eg Chunya,Moshi,Sengerema,Tunduma nk
-Ukarabati wa viwanja vya Michezo na kufungwa taa eg Nyamagana,CCM Kirumba,Jamhuri,Kaitaba ,Mtibwa Sugar,Mkwakwani,
-Ujenzi wa viwanja vya mapunziko na mazoezi eg Chinangali-Dodoma,Dar,Arusha,Tanga na Chuo Cha Michezo Mallya.

Yaani hivyo ni Baadhi tuu kati ya viwanja vingi ambavyo Profesa wa siasa na Maendeleo SSH ameweka juhudi zake.

Tunampa maua yake angalia akiwa hai 👇👇
View attachment 3234899View attachment 3234900View attachment 3234901View attachment 3234902View attachment 3234903View attachment 3234904View attachment 3234905View attachment 3234906

My Take
Samia amegusa Kila sekta na kote amefaniliwa pakubwa,hakuna hata wa kumsogelea ukifanya ulinganisho.

View: https://www.instagram.com/reel/DF9_uOJMulG/?igsh=MTNmbzZydHR0cGJ2Ng==

Kwa macomputer image mko vizuri.
 
SAMAHANI MTOA POST HIVO VIWANJA ULIVYOTAJA VIPO NCHI HII NA VIMEFANYIWA UKARABATI?

Nyamagana na kirumba naona taa zinawaka hadi saa sita mchana.

AFADHALI UKICHAA KULIKO WEHUU HUU!
Wewe hater -ukarabati wa kiwanja sio lazima vifungwe taa.

-Uwanja wa Gwambina umefungiwa taa.
-Uwanja wa Majaliwa Stadium umefungiwa taa
-Uwanja wa Kaitaba umefungiwa taa
-Uwanja wa Mkwakwani umefungwa taa
-Uwanja wa Jamhuri Dodoma umefungwa taa.

Baadhi tuu ya viwanja vilivyofangiwa -ukarabati ni Lake Tanganyika,Ally Hassan Mwinyi,CCM Kirumba,Sokoime Mbeya, nk nk.

Acha chuki,Samia has no one to compare kama unajua mtaje .
 
Back
Top Bottom