Video Picha: Uwanja Mpya wa Michezo Dodoma

Naona unawapiga tu kwenye mshono
 
Kwenye ujenzi wa hivyo viwanja nanusa harufu ya ufisadi. Hasa hii miradi inayoibuka kuelekea uchaguzi mkuu. Nchi ni yetu sote
 
kuna mpunga mrefu utapigwa hapo kwamba ni hela ya uwanja kumbe ni kampeni za sisiyemu hoyeeee
Serikali haifanyi mambo kienyeji kama wewe.

CCM Wana pesa kutoka vyanzo vyao zaidi ya Bilioni 4 Kwa mwaka.
 
Hata kama
Ungekuwa kila siku unamsifia baba yako aliyevuja jasho kwa kukuletea chakula mezani wakati unakua, hakika angepata faraja sana.

Cha ajabu baba aliyekulea, kukulisha, kukuvisha na kukulipia ada hujawahi kumpa sifa na kuchukulia ni jukumu lake kufanya hayo yote, ila Rais ambaye anatumia sehemu tu ya kodi zetu kufanya hayo mambo madogo madogo kutwa nzima kumsifia.

Jitafakari kijana.
 
Nimsifie kwani nilimuomba baba yangu ni Rais au ana majukumu ya Rais? Tunamsifia Samia anarahisisha utafutaji wetu.

Nyumbu mtatafuta sehemu ya kuficha sura zenu za chuki πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DFntkuwKSM-/?igsh=d3I1bWF5ODVvOW93
 
Hitaji la wananchi wa chunya sio uwanja wa mpira,Bali ni Maji sa go I na salama, vijiji vya matondo, matundasi na Itumbi.( serikali ya CCM imeshindwa).

2. Ujenzi wa kiwango cha lami Barabara ya Mayundasi kwenda Itumbi kms 13 tu ( serikali ya CCM imeshindwa).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…