Video Picha: Uwanja Mpya wa Michezo Dodoma

Video Picha: Uwanja Mpya wa Michezo Dodoma

Wewe hater -ukarabati wa kiwanja sio lazima vifungwe taa.

-Uwanja wa Gwambina umefungiwa taa.
-Uwanja wa Majaliwa Stadium umefungiwa taa
-Uwanja wa Kaitaba umefungiwa taa
-Uwanja wa Mkwakwani umefungwa taa
-Uwanja wa Jamhuri Dodoma umefungwa taa.

Baadhi tuu ya viwanja vilivyofangiwa -ukarabati ni Lake Tanganyika,Ally Hassan Mwinyi,CCM Kirumba,Sokoime Mbeya, nk nk.

Acha chuki,Samia has no one to compare kama unajua mtaje .
Naona unawapiga tu kwenye mshono
 
Kwenye ujenzi wa hivyo viwanja nanusa harufu ya ufisadi. Hasa hii miradi inayoibuka kuelekea uchaguzi mkuu. Nchi ni yetu sote
 
kuna mpunga mrefu utapigwa hapo kwamba ni hela ya uwanja kumbe ni kampeni za sisiyemu hoyeeee
Serikali haifanyi mambo kienyeji kama wewe.

CCM Wana pesa kutoka vyanzo vyao zaidi ya Bilioni 4 Kwa mwaka.
 
Hata kama
Ungekuwa kila siku unamsifia baba yako aliyevuja jasho kwa kukuletea chakula mezani wakati unakua, hakika angepata faraja sana.

Cha ajabu baba aliyekulea, kukulisha, kukuvisha na kukulipia ada hujawahi kumpa sifa na kuchukulia ni jukumu lake kufanya hayo yote, ila Rais ambaye anatumia sehemu tu ya kodi zetu kufanya hayo mambo madogo madogo kutwa nzima kumsifia.

Jitafakari kijana.
 
Ungekuwa unamsifia baba yako aliyevuja jasho kwa kukuletea chakula mezani wakati unakua kila siku, hakika angepata faraja sana.

Cha ajabu baba aliyekulea, kukulisha, kukuvisha na kukulipia ada hujawahi kumpa sifa na kuchukulia ni jukumu lake kufanya hayo yote ila Rais ambaye anatumia sehemu tu ya kodi zetu kufanya hayo mambo madogo madogo kutwa nzima kumsifia.

Jitafakari kijana.
Nimsifie kwani nilimuomba baba yangu ni Rais au ana majukumu ya Rais? Tunamsifia Samia anarahisisha utafutaji wetu.

Nyumbu mtatafuta sehemu ya kuficha sura zenu za chuki 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DFntkuwKSM-/?igsh=d3I1bWF5ODVvOW93
 
Hivi Kuna Rais amewahi fanya makubwa na kuleta mafanikio kwenye sekta ya Michezo,sana n burudani kumshinda Samia katika historia ya 🇹🇿?

Huwezi Kuta SSH akijigamba ila matokeo kwake ni makubwa sana ,mfano ni kwenye sekta ya ujenzi wa viwanja vya Michezo na -ukarabati.

-Ujenzi wa uwanja Mpya wa Mpira Arusha
-Ujenzi wa uwanja Mpya wa Mpira Dodoma
-Ujenzi wa uwanja Mpya wa Michezo KMC
-Ujenzi wa uwanja Mpya wa Michezo Meja Samunyo
-Ukarabati wa uwanja wa Benjamin Mkapa
-Ukarabati wa uwanja wa Uhuru (Shamba la Babi)
-Ujenzi wa viwanja vya Michezo kwenye Miji na Halmashauri mbalimbali eg Chunya,Moshi,Sengerema,Tunduma nk
-Ukarabati wa viwanja vya Michezo na kufungwa taa eg Nyamagana,CCM Kirumba,Jamhuri,Kaitaba ,Mtibwa Sugar,Mkwakwani,
-Ujenzi wa viwanja vya mapunziko na mazoezi eg Chinangali-Dodoma,Dar,Arusha,Tanga na Chuo Cha Michezo Mallya.

Yaani hivyo ni Baadhi tuu kati ya viwanja vingi ambavyo Profesa wa siasa na Maendeleo SSH ameweka juhudi zake.

Tunampa maua yake angali akiwa hai,kwamba goli la mama limeleta Tija. 👇👇
View attachment 3234899View attachment 3234900View attachment 3234901View attachment 3234902View attachment 3234903View attachment 3234904View attachment 3234905View attachment 3234906

My Take
Samia amegusa Kila sekta na kote amefaniliwa pakubwa,hakuna hata wa kumsogelea ukifanya ulinganisho.

View: https://www.instagram.com/reel/DF9_uOJMulG/?igsh=MTNmbzZydHR0cGJ2Ng==

Hitaji la wananchi wa chunya sio uwanja wa mpira,Bali ni Maji sa go I na salama, vijiji vya matondo, matundasi na Itumbi.( serikali ya CCM imeshindwa).

2. Ujenzi wa kiwango cha lami Barabara ya Mayundasi kwenda Itumbi kms 13 tu ( serikali ya CCM imeshindwa).
 
Back
Top Bottom