Video: Polisi wa usalama barabarani akiomba rushwa ya 10000 kwa mzungu. Aibu!!!

Texas Tiger

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2022
Posts
730
Reaction score
1,848
Hii video imewekwa Instagram na mtalii raia wa Canada.

Hawa polisi wetu akili zao ni ndogo sana na mostly likely wanaugua vichwani mwao.

Heko kwa mtasha kukataa kutoa rushwa na kumwambia huyo askari wazi wazi hakuna rushwa hapa.

Mwoshoni, askari anaondoka kwa aibu 🤡
============
Polisi wala rushwa katika nchi nyingi za Afrika huw targeti wageni wakitumaini kuwakamua pesa za rushwa kinyume cha sheria.

Wanaweza kudai ulipie papo hapo barabarani, kitu ambacho ni kinyume cha sheria, lakini watalii wengi hawajui kanuni hizi, jambo linalowapa polisi nafasi ya kuwanyonya.

Wataibua sababu kama 50 za vitu ambavyo unadaiwa “umekosea,” hata kama hujafanya kosa lolote. Tumeshawahi kusimamishwa kwa sababu za kipuuzi kabisa, na baadhi ya polisi wanaweza hata kubuni sheria papo hapo ili kukufanya ufikiri lazima ulipe.

Nimeshawahi kutishiwa kufikishwa mahakamani, kudaiwa mamia ya dola kwa kwenda 5 km/h chini ya kiwango cha mwendo, na hata kutozwa faini kwa kuwa na kizimia moto “kilichokwisha muda”… ilhali kina miaka mingine 3 kabla ya kuisha 😂

Orodha inaendelea na kuendelea.

Kwa kweli naelewa kwa nini wanahisi wana hitaji kufanya hivi, na sina kinyongo nao kwa kujaribu, lakini hiyo haitafanya kazi kwangu bwana

Hawa mapolice ndio walioua Vijana wetu kwa wingi wakidhani mkuu wao atamaliza shida zao

Gen-z waliandamana ili walau kuleta mabadiriko kwao police na kila raia, cha ajabu police bila kujali kwamba, nao ni miongoni mwa wanaoishi maisha ya dhiki, rushwa, wizi na unyan'anyi ili baada ya hapo waondokane na maisha hayo ya laana, wakawapiga na kuwauwa vijana

Hawa watu acha laana iwachape
 
Hii video imewekwa Instagram na mtalii raia wa Canada.

Hawa polisi wetu akili zao ni ndogo sana na mostly likely wanaugua vichwani mwao.

Heko kwa mtasha kukataa kutoa rushwa na kumwambia huyo askari wazi wazi hakuna rushwa hapa.

Mwoshoni, askari anaondoka kwa aibu 🤡
============
Polisi wala rushwa katika nchi nyingi za Afrika huw targeti wageni wakitumaini kuwakamua pesa za rushwa kinyume cha sheria.

Wanaweza kudai ulipie papo hapo barabarani, kitu ambacho ni kinyume cha sheria, lakini watalii wengi hawajui kanuni hizi, jambo linalowapa polisi nafasi ya kuwanyonya.

Wataibua sababu kama 50 za vitu ambavyo unadaiwa “umekosea,” hata kama hujafanya kosa lolote. Tumeshawahi kusimamishwa kwa sababu za kipuuzi kabisa, na baadhi ya polisi wanaweza hata kubuni sheria papo hapo ili kukufanya ufikiri lazima ulipe.

Nimeshawahi kutishiwa kufikishwa mahakamani, kudaiwa mamia ya dola kwa kwenda 5 km/h chini ya kiwango cha mwendo, na hata kutozwa faini kwa kuwa na kizimia moto “kilichokwisha muda”… ilhali kina miaka mingine 3 kabla ya kuisha 😂

Orodha inaendelea na kuendelea.

Kwa kweli naelewa kwa nini wanahisi wana hitaji kufanya hivi, na sina kinyongo nao kwa kujaribu, lakini hiyo haitafanya kazi kwangu bwana

Aibu, ila poa tu kama Boss kubwa anamiliki G-Wagon na Maghorofa ya nyumba za kupangisha, siyo ishu hiyo ndogo tu ya kubrashia viatu, asimchukulie hatua yeyote...AMUACHE
 
Hii video imewekwa Instagram na mtalii raia wa Canada.

Hawa polisi wetu akili zao ni ndogo sana na mostly likely wanaugua vichwani mwao.

Heko kwa mtasha kukataa kutoa rushwa na kumwambia huyo askari wazi wazi hakuna rushwa hapa.

Mwoshoni, askari anaondoka kwa aibu 🤡
============
Polisi wala rushwa katika nchi nyingi za Afrika huw targeti wageni wakitumaini kuwakamua pesa za rushwa kinyume cha sheria.

Wanaweza kudai ulipie papo hapo barabarani, kitu ambacho ni kinyume cha sheria, lakini watalii wengi hawajui kanuni hizi, jambo linalowapa polisi nafasi ya kuwanyonya.

Wataibua sababu kama 50 za vitu ambavyo unadaiwa “umekosea,” hata kama hujafanya kosa lolote. Tumeshawahi kusimamishwa kwa sababu za kipuuzi kabisa, na baadhi ya polisi wanaweza hata kubuni sheria papo hapo ili kukufanya ufikiri lazima ulipe.

Nimeshawahi kutishiwa kufikishwa mahakamani, kudaiwa mamia ya dola kwa kwenda 5 km/h chini ya kiwango cha mwendo, na hata kutozwa faini kwa kuwa na kizimia moto “kilichokwisha muda”… ilhali kina miaka mingine 3 kabla ya kuisha 😂

Orodha inaendelea na kuendelea.

Kwa kweli naelewa kwa nini wanahisi wana hitaji kufanya hivi, na sina kinyongo nao kwa kujaribu, lakini hiyo haitafanya kazi kwangu bwana

hii video ni ya kutengeneza huyu mbona anaonekana ni pochoro wa kitanzania
 
Back
Top Bottom