Video: Polisi wavunja ofisi ya CHADEMA mkoani Kigoma

Khadija Mtalame

Senior Member
Joined
Jul 14, 2021
Posts
185
Reaction score
715
Hapa ni Eneo la Mwanga Urusi Kigoma mjini. Asubuhi hii Polisi waliamua kuanza kazi kwa kuvunja JIWE la msingi la CHADEMA! Uadui huu hauna tija! Tanzania ni nchi inayotambua mfumo wa vyama vingi! Vyombo vya Dola ni vya wananchi siyo ya chama tawala CCM.

Your browser is not able to display this video.
 
polisi wa Tanzania wamegeuzwa kuwa UVCCM.
 
Unaandika Kama unatekenywa na mmeo

USSR
 
Hizi ndizo dalili za anguko la CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…