Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakitoa majibu popote tushirikishane.Tumeona kwenye mitandao kijiwe cha chadema kinabomolewa na polisi. Mkuu wa wilaya, IGP, Waziri wa mambo ya ndani wote kimyaaaaaaa!!!!.
Jamani hii ina maana gani? Polisi wanapata baraka zooote toka juu.
Kazi kweli kweli.
Wamekusaliti nini? Unaingea kama unaharisha? Unajua maana ya usaliti wewe? Yaani Lissu huyu ambaye walipanga kumuua lakini Mungu akamuokoa ndiyo mnamuita msaliti? Mbowe huyu waliyepambana kwa mbinu zote kumdhoofisha wameshindwa ndiyo mnamuita msaliti?Mafiningo tuwe wazalendo na wenye hekima. Hii ni chi yetu sote, hatuna nchi nyingine zaidi ya hii Tanganyika/Tanzania. Kama umewahi kuishi nje za nchi utakubaliana na mimi ila kama maisha yako yote yamekuwa bongo unaweza usinielewe. Soma historia ya mataifa yote yaliyoendelea, utagundua wasaliti kama akina Mbowe, Lisu waliuawa kwa kunyongwa. Ila sasa wao baada ya kustaarabika na watu wao kuwa incorruptible sasa wana enjoy uzalendo. Mzungu anaweza kuwa na maslahi binafsi ila linapofika suala la kitaifa usahau kumrubuni. Nchi zetu hizi wanasiasa wanageuza siasa kama uanaharakati. Wakumbuke Dr Slaa alivyojenga chama, alikuwa na hoja, kila apoleta hoja zake zilikuwa na mashiko, pamoja na kuchukiwa na serikali lakini alikuwa na heshima linapofika jambo la kitaifa. Huyu huyu Mbowe na Lisu walivyo wasaliti, sidhani kama ukiwapa nchi wanaweza kuwa wazalendo. Yaani ukitaka kuona huyo malaika mnayemtetea ni kimeo wewe angalia tu katiba ya chama aliigeuza ili atawale milele, sasa je angepewa nchi si ndiyo angebadili katiba ili awe Mfalme?
Kikubwa tuendeshe siasa zenye maslahi mapana ya nchi. Usione tulikuwa kimya, tuliwaacha mteme nyongo zote ili tupate ushahidi wa nani mnafiki, nani si mzalendo then tujuie ni nani anafaa kuwa mtumishi wa watanzania kwa vizazi vijavyo, lakini wengi wenu mmeharibu mafaili yenu, yamechafuka yananuka vibaya mno. Msidhani matusi yenu ya kumtukana Dkt JPM hayajarekodiwa, yapo yoote kabisa, na sasa mtaanza kulipia mmoja baada ya mwingine ili mjue hii ni nchi inaendeshwa kwa misingi ya uzalendo na sheria. Na mkitaka kujua JPM alipendwa subirini 2025 muone legacy yake itakavyotumika kuipa CCM ushindi.
Video ilivyokuwa fupi I take it hapo mahali ilikuwa hatari tupu. Hatari ya denja.Hapa ni Eneo la Mwanga Urusi Kigoma mjini. Asubuhi hii Polisi waliamua kuanza kazi kwa kuvunja JIWE la msingi la CHADEMA! Uadui huu hauna tija! Tanzania ni nchi inayotambua mfumo wa vyama vingi! Vyombo vya Dola ni vya wananchi siyo ya chama tawala CCM.
View attachment 1882661
Raiti Kama wangemsikiliza kwani wangesimama wakajifunza kutembea upya nguvu waliokuwa wamesaza zingewasaidia,ona sasa wamekuwa viwete,viziwi na Tena ni vipofu hawana budi kubebwa sa hivi wanatembezwa kwenye Tenga Kama nyanya. A point of no return.Mnafiki mkubwa huyu. Hayasikii haya maovu yanayoendelea dhidi ya Chadema? Mbona kauchuna? Baba wa Taifa katika hali kama hii kama angekuwa hai asingeuchuna huku akiona mwelekeo wa nchi si mzuri.