Video: Polisi wavunja ofisi ya CHADEMA mkoani Kigoma

Tumeona kwenye mitandao kijiwe cha chadema kinabomolewa na polisi. Mkuu wa wilaya, IGP, Waziri wa mambo ya ndani wote kimyaaaaaaa!!!!.
Jamani hii ina maana gani? Polisi wanapata baraka zooote toka juu.
Kazi kweli kweli.
Wakitoa majibu popote tushirikishane.
 
Wamekusaliti nini? Unaingea kama unaharisha? Unajua maana ya usaliti wewe? Yaani Lissu huyu ambaye walipanga kumuua lakini Mungu akamuokoa ndiyo mnamuita msaliti? Mbowe huyu waliyepambana kwa mbinu zote kumdhoofisha wameshindwa ndiyo mnamuita msaliti?
Ni usaliti gani walioufanya ambao wachache wenye akili zrnye matege mnauona lakini hakuna hata mmoja mwenye akili timamu au nusu ashindwe kuziona
 
Video ilivyokuwa fupi I take it hapo mahali ilikuwa hatari tupu. Hatari ya denja.
 
Hiyo video mbona hailetwi,IPO mtandao gani
 
Mnafiki mkubwa huyu. Hayasikii haya maovu yanayoendelea dhidi ya Chadema? Mbona kauchuna? Baba wa Taifa katika hali kama hii kama angekuwa hai asingeuchuna huku akiona mwelekeo wa nchi si mzuri.
Raiti Kama wangemsikiliza kwani wangesimama wakajifunza kutembea upya nguvu waliokuwa wamesaza zingewasaidia,ona sasa wamekuwa viwete,viziwi na Tena ni vipofu hawana budi kubebwa sa hivi wanatembezwa kwenye Tenga Kama nyanya. A point of no return.
 
Rpc kahadiwa ubunge baada ya kustaafu lzm atengeneze jina
 
Kama waliweza kummaliza mwendazake sembuse kuvunja ofisi ya chadema ndio iwe kazi

Ukizoea kula nyama ya mtu hutaacha kufanya hivyo kila wakati-Nyerere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…