GE2025 Video: Polisi zaidi ya 10 wakimshambulia mwananchi aliyefika mahakama kuu kufuatilia kesi ya Lissu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Polisi zaidi ya 10 wakimshambulia mwananchi nje ya mahakama, mwananchi huyu alifika kufuatilia kesi ya Mh. Tundu Lissu leo.

PGO inawaelekeza askari wote, kujiepusha na vitendo vyote visivyo vya kibinadamu au vyenye kushusha heshima ya mtu kwa mazingira yoyote kwani havivumiliki kwa Polisi yeyote anayejihusisha na vitendo hivyo.

Utendaji wa Polisi kwa jamii ni lazima uzingatie heshima kadiri mazingira yanavyohitaji. Matumizi ya nguvu kwa kila askari yanaruhusiwa na kukubalika pale tu inapolazimu katika kufanikisha malengo yenye kukubalika.

Tukio hili miongoni mwa matukio mengi ya kikatili ambayo yamekuwa yakifanywa na Polisi kwa raia, Askari zaidi ya 10 wanamshambulia kwa virungu raia asiye hata na silaha ambapo ingewezekana kumdhibiti pasipo kumshambulia kikatili bila kujali usalama na utu wake.

Kila askari anatakiwa kutumia nguvu kwa majukumu yake pale tu inapohitajika na inapobidi, na pia ni pale tu nguvu hiyo inapohitajika kufanikisha malengo ya kisheria.

Vitendo kama hivi vya kukemewa vivyofanywa na baadhi ya polisi vinaashiria unjwaji wa makusudi wa haki za binadamu pamoja na kukiukwa kwa taratibu zinazowaongoza Polisi katika utendaji wao wa shughuli za kila siku.

Pia soma: Baadhi Ya Mambo Unayohitaji Kufahamu Kuhusu Polisi


Your browser is not able to display this video.

​
 
Polisi zaidi ya 10 wakimshambulia mwananchi nje ya mahakama, mwananchi huyu alifika kufuatilia kesi ya Mh. Tundu Lissu leo.
Excessive use of force & violence, huo upigaji si sawa.
Kama amevunja sheria si akamatwe na kuchukuliwa hatua stahiki.


Nje ya mada kidogo:
Watu wakija kuhudhuria kesi, na ikitokea wamekua wengi kuliko nafasi iliyopo ndani ya chumba cha mahakama, hivyo kuombwa kuondoka, lakini wakagoma. Nini inabidi kifanyike?
 
Unaambiwa watu wako kwenye foleni mapema sana baadae mnakuja kuambiwa ukumbi umejaa. Wamejaa kina nani?

Nini kifanyike?
 
Raia gani unaozungumzia?
ulizaliwa ukiwa mtu mzima ? ulipokuwa mdg uliweza hata kulamba pilipili ? je uliweza kutungisha mimba ukiwa angali mdg ? je uliweza kujihudumia ukiwa mdg ?

Lkn hayo au mengi kati ya hayo unayamuda sasa hv

Vivyo hvyo haya matukio yanaimarisha ujasiri miongon mwa jamii na ipo siku itahitajika kitu kdg tu watu kukiwasha

nchi zinazojitambua huwa wanaikwepesha jamii zao kuona mamb kama haya maana wanajua kuwa zina athari huko mbeleni
 
Hivi hawa polisi wameshindwa kabisa kuwekeza kwenye matumizi ya akili zaidi kwenye karne hii ya 21, badala ya nguvu na ubabe usio na ulazima! Inakuwaje kwenye dunia ya leo bado tuna polisi wa aina hii!
Hatucheki na kima ukiruhusu kima wajikusanye kwa wingi shamban utavuna mabua
 
NAKUONAGA WEWE NI FALA SASA NAZIIDI KU-PROVE KWAMBA WEWE NI PUNGUANI MKUBWA.

HIVI KWELI MTU ANAPIGWA KWA KIASI HICHO, hana silaha wala nini huku akiwa aanapigwa na rundo la watu unaona ni sawa .

FALA SANA WEWE
Huna akili, siwezi kubishana na kichaa.

Ila kama siyo punguani, basi nionyeshe niliposema kwamba kupigwa kwa huyu raia ni sawa!
 
NAKUONAGA WEWE NI FALA SASA NAZIIDI KU-PROVE KWAMBA WEWE NI PUNGUANI MKUBWA.

HIVI KWELI MTU ANAPIGWA KWA KIASI HICHO, hana silaha wala nini huku akiwa aanapigwa na rundo la watu unaona ni sawa .

FALA SANA WEWE
Jamaa wana msongo wa mawazo
 
Sio kwa ubaya, Lakini mmemuona wa Black t-shirt anavyojaribu kufanya kama hausiki na kinachomtokea Mwenzake. 😅🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…