Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
INAUMIZA MNOOSijatamani kuangalia na siku yangu imeharibika kufungua izo video ni Unyama USIO na KIPIMO.
Watu wa aina yangu hawapaswi kua wanaharahati...maana nitauwawa ndio sababu niliamua kuwa mbali na hizi siasa za third world countries
Ni kama una angua PAPAI KWA KUTUMIA GOBOREE