GE2025 Video: Polisi zaidi ya 10 wakimshambulia mwananchi aliyefika mahakama kuu kufuatilia kesi ya Lissu

GE2025 Video: Polisi zaidi ya 10 wakimshambulia mwananchi aliyefika mahakama kuu kufuatilia kesi ya Lissu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mume wangu tena, hata wewe usikute ni katoto ka Michepuko yangu mjaa laana weye.
Hao masingle maza wenu ndo wanatuletea laana km wewe mitaani huku.
We binti mzuri una mambo yako uende kuandamana eti unafatilia kesi bwege wewe.
Poa kama hauandamani tulia sasa mpikie shemegi
 
Hivi, watu ni wehu kiasi cha kushambulia askali mmoja,kabisa unaona wengi hivo? Na je,ukiangalia kipande ulichokata tu, unahisi wengine hawana? Huyo mwanadada na yeye alimshambulia askali? Ikiwa huyo mwanaume alitaka kumuokoa huyo dada? Na ikiwa video nzima toka mwanzo ina maelezo zaidi? Kati ya wote hakuna aliefanya vizuri, lakini haya ni matokeo ya nguvu isiyo ya lazima. Raia siku zote kwa akili yake au kwa ushawishi,anaweza jikuta anafanya kitu kisicho cha maana. Hivyo, anatakiwa kuelimishwa kwanza kabla ya kushambuliwa. Unahisi video kama hizi zinaacha ujumbe gani kwa raia? Je,huko ndo kujijengea uaminifu kwa wananchi au ni kujenga chuki tu!
Hapa hata kama unatumia ugali kufikiri,bado utaona polisi wamezingatia kanuni za kazi yao,wamempapasa tu huyu,na hata alipojaribu kujiepusha nao hawakuwa wanafanya kuhudi kumshikiria.

Hiyo ndio kanuni ya cloud control,wananchi wenzie wameenda kumpa msaada na wala polisi hawakuonyesha kwamba wana ugomvi naye binafsi wakawaachia.
 
Ali resist police order na kumshambulia polisi
Yaani mtu kavimbiwa mihogo kaguswa kidogo tu watu wanapiga kelele.

Mtu hata hospital kaenda anatembea wanadai kapigwa!!!!!hizi siasa hizi hazijengi.
 
Back
Top Bottom