GE2025 Video: Polisi zaidi ya 10 wakimshambulia mwananchi aliyefika mahakama kuu kufuatilia kesi ya Lissu

GE2025 Video: Polisi zaidi ya 10 wakimshambulia mwananchi aliyefika mahakama kuu kufuatilia kesi ya Lissu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
..huyo mwananchi hakuwa na silaha, na hakuonekana kuwazidi nguvu Polisi.

..hakukuwa na haja ya Polisi kumshambulia kwa namna walivyofanya.

..kilichotokea kinachafua taswira ya Polisi, mahakama, na nchi kwa ujumla.
Hakuna kitu kama hicho. Huyo akiwa provoke Polisi. Kama Polisi wasinge deal naye namna kama hivyo basi wangekuwa siyo Polisi
 
Video inaonesha tukio halijaanzia hapo

Inawezekana tukio la jamaa kurusha teke lilikuja baada ya mmoja wa hao polisi kumshambulia.

Hata wewe mwenyewe ukiwaza hivi unaona ina make sense kufikiria tu huyo mtu from nowhere amewakuta polisi ghafla tu akaanza kuwarushia mateke?
Leta hiyo video ya awali, acha ubashiri
 
..lazima kuna kitu Polisi walimfanyia ndio maana raia akaanza kujitetea kwa namna uliyoona.

..katika mazingira ya kawaida haiwezekani raia asiye na silaha aanzishe ugomvi na Polisi wenye silaha waliotayari kuumiza raia.
Mkuu huwa nakuamini sana kwa argument zako, ila hapa unapomtetea mtu anayejipima nguvu dhidi ya Jeshi letu, umebugi big time.
 
Hiyo video kama ni ya kweli imetengenezwa makusudi ku mislead public. Tunawajua Polisi wetu na uzoefu wao
Mtaala wa Polisi ni kupiga, hawajui policing nyingine yoyote! Hizi ni spinning
Nimeona ITV jana sidhani kama uko sahihi unachosema maana nawewe una speculate tu

USSR
 
..haihalalishi yeyote yule kuumizwa na Polisi.

..kama raia alikuwa akileta shida,na kwasababu alikuwa hana silaha, na Polisi walikuwa wengi, basi alitakiwa kukamatwa bila kutumia marungu na mateke.
Tofautisha Polisi na jeshi la mgambo au JKT.

TUnahitaji quick and fast response kwa mtu au kikundi chochote kinacho jaribu kuvuruga amani.

Na asomewe mashtaka akiwa hapohpo kwenye kitanda cha hospitali
 
Hivi, watu ni wehu kiasi cha kushambulia askali mmoja,kabisa unaona wengi hivo? Na je,ukiangalia kipande ulichokata tu, unahisi wengine hawana? Huyo mwanadada na yeye alimshambulia askali? Ikiwa huyo mwanaume alitaka kumuokoa huyo dada? Na ikiwa video nzima toka mwanzo ina maelezo zaidi? Kati ya wote hakuna aliefanya vizuri, lakini haya ni matokeo ya nguvu isiyo ya lazima. Raia siku zote kwa akili yake au kwa ushawishi,anaweza jikuta anafanya kitu kisicho cha maana. Hivyo, anatakiwa kuelimishwa kwanza kabla ya kushambuliwa. Unahisi video kama hizi zinaacha ujumbe gani kwa raia? Je,huko ndo kujijengea uaminifu kwa wananchi au ni kujenga chuki tu!
 

Attachments

  • 2676ee06b7e74119a37f5d78a7602f98.mp4
    11.3 MB
ungo hapo alikuwa ameshapigwq vibaya baada ya kunyanyuka ndio kafanya hivyo, hizo ni hasira baada ya kupigwa
imagine huyo ni Baba yako ungekuja hapa kudanganya??
Atakuwaje baba wa mtu huyu? Huyo ni hooligan tu, hana la kufanya kaamua kuwa provoke chombo cha dola.

Muache aendelee kuugulia maumivu ya ujinga wake
 
Yani mi ningekua polisi ningehakikisha nimemvunja huo mkono aliorushia ngumi ana bahati sana yuko Bongo , angekutana na polisi wa USA sahivi kashachapwa risasi nyumbani kwao kumefungwa maturubai
damu ya kiarabu mnawaza kuua tu
 
Mbona mavazi ni tofauti, Au aliwashambulia kisha akaenda nyumbani kubadili nguo ndio akarudi kuomba apigwe virungu?😊
 
Atakuwaje baba wa mtu huyu? Huyo ni hooligan tu, hana la kufanya kaamua kuwa provoke chombo cha dola.

Muache aendelee kuugulia maumivu ya ujinga wake
naona umefurahi sana
 
Tofautisha Polisi na jeshi la mgambo au JKT.

TUnahitaji quick and fast response kwa mtu au kikundi chochote kinacho jaribu kuvuruga amani.

Na asomewe mashtaka akiwa hapohpo kwenye kitanda cha hospitali

..quick, rapid, and smart, response.

..huhitaji kumjeruhi mwananchi asiye na silaha.

..Polisi wetu wanaonekana kama watu wasiotumia akili.
 
kama alipiga kweli basi safi sana, hivyo ndivyo inayotakiwa, hawa kenge hatutakiwi kuwaogopa. Wao ni woga kuliko sisi na masiliha yao, ni vile wabongo ni wapumbavu tu
Kama kweli alianza yeye tunaanza kuamka vizuri ni ujumbe mzuri kabisa wajiandae
 
Hakuna kitu kama hicho. Huyo akiwa provoke Polisi. Kama Polisi wasinge deal naye namna kama hivyo basi wangekuwa siyo Polisi

..sio kweli.

..Polisi wetu wanatakiwa watekeleze majukumu yao kwa kuzingatia utu na maadili.
 
Video inaonesha tukio halijaanzia hapo

Inawezekana tukio la jamaa kurusha teke lilikuja baada ya mmoja wa hao polisi kumshambulia.

Hata wewe mwenyewe ukiwaza hivi unaona ina make sense kufikiria tu huyo mtu from nowhere amewakuta polisi ghafla tu akaanza kuwarushia mateke?
Naunga mkono hoja
 
Huyu alijitakia kipigo. Kuwashambulia polisi kwa mateke na ngumi isingemwacha salama. CHADEMA acheni kutafuta kiki za kijinga. Mtaendelea kuwalaumu sana polisi. Tazama video.


View attachment 3472925
Aaah kwamba Una teknolojia ya VAR kabisa siyo naona umeweka slow motion kabisa kuonyesha jinsi gani hutaki mchezo 🤣
 
Hivi, watu ni wehu kiasi cha kushambulia askali mmoja,kabisa unaona wengi hivo? Na je,ukiangalia kipande ulichokata tu, unahisi wengine hawana? Huyo mwanadada na yeye alimshambulia askali? Ikiwa huyo mwanaume alitaka kumuokoa huyo dada? Na ikiwa video nzima toka mwanzo ina maelezo zaidi? Kati ya wote hakuna aliefanya vizuri, lakini haya ni matokeo ya nguvu isiyo ya lazima. Raia siku zote kwa akili yake au kwa ushawishi,anaweza jikuta anafanya kitu kisicho cha maana. Hivyo, anatakiwa kuelimishwa kwanza kabla ya kushambuliwa. Unahisi video kama hizi zinaacha ujumbe gani kwa raia? Je,huko ndo kujijengea uaminifu kwa wananchi au ni kujenga chuki tu!
Umeandika porojo
 
Back
Top Bottom