GE2025 Video: Polisi zaidi ya 10 wakimshambulia mwananchi aliyefika mahakama kuu kufuatilia kesi ya Lissu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huyu alijitakia kipigo. Kuwashambulia polisi kwa mateke na ngumi isingemwacha salama. CHADEMA acheni kutafuta kiki za kijinga. Mtaendelea kuwalaumu sana polisi. Tazama video.

..lazima kuna kitu Polisi walimfanyia ndio maana raia akaanza kujitetea kwa namna uliyoona.

..katika mazingira ya kawaida haiwezekani raia asiye na silaha aanzishe ugomvi na Polisi wenye silaha waliotayari kuumiza raia.
 
Yani mi ningekua polisi ningehakikisha nimemvunja huo mkono aliorushia ngumi ana bahati sana yuko Bongo , angekutana na polisi wa USA sahivi kashachapwa risasi nyumbani kwao kumefungwa maturubai
tetea wanyonge mjuba, usipende sana kutetea wenye nguvu hata kama unapata ugali huko
 
Mbona wewe hujaumizwa?
 
Mbona wewe hujaumizwa?

..haihalalishi yeyote yule kuumizwa na Polisi.

..kama raia alikuwa akileta shida,na kwasababu alikuwa hana silaha, na Polisi walikuwa wengi, basi alitakiwa kukamatwa bila kutumia marungu na mateke.
 
Yani mi ningekua polisi ningehakikisha nimemvunja huo mkono aliorushia ngumi ana bahati sana yuko Bongo , angekutana na polisi wa USA sahivi kashachapwa risasi nyumbani kwao kumefungwa maturubai
Wewe jamaa sikuwahi kukuelewa kwamba jina lako la utoto ulikua unaitwa Matako kabisa
 
Wanaccm naomba mniache sasa na stress zangu, siansa nimesitaafu kuanzia leo, stak kelele...
 
..lazima kuna kitu Polisi walimfanyia ndio maana raia akaanza kujitetea kwa namna uliyoona.

..katika mazingira ya kawaida haiwezekani raia asiye na silaha aanzishe ugomvi na Polisi wenye silaha waliotayari kuumiza raia.
Hiyo video kama ni ya kweli imetengenezwa makusudi ku mislead public. Tunawajua Polisi wetu na uzoefu wao
Mtaala wa Polisi ni kupiga, hawajui policing nyingine yoyote! Hizi ni spinning
 
tetea wanyonge mjuba, usipende sana kutetea wenye nguvu hata kama unapata ugali huko
Mimi nitatetea kwenye ukweli tu ila usitegemee ufanye upumbavu alafu nitetee, ukiwa na haki nitasema umeonewa ila ukienda mahakamani kama huyo jamaa ukumbi wa mahakama umejaa polisi wanawaondoa we unarusha ngumi hiyo siwezi kukutetea
 
Ulisema jina lako la utoto unaitwa nani?
 
..haihalalishi yeyote yule kuumizwa na Polisi.

..kama raia alikuwa akileta shida,na kwasababu alikuwa hana silaha, na Polisi walikuwa wengi, basi alitakiwa kukamatwa bila kutumia marungu na mateke.
Wewe ni mwalimu wa polisi?
 
Mbona kama akili mnemba imehusika kutengeneza hii video????? Kama ipo full leta tuone
 
Back
Top Bottom