GE2025 Video: Polisi zaidi ya 10 wakimshambulia mwananchi aliyefika mahakama kuu kufuatilia kesi ya Lissu

GE2025 Video: Polisi zaidi ya 10 wakimshambulia mwananchi aliyefika mahakama kuu kufuatilia kesi ya Lissu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
..quick, rapid, and smart, response.

..huhitaji kumjeruhi mwananchi asiye na silaha.

..Polisi wetu wanaonekana kama watu wasiotumia akili.
Angekuwa USA angekwisha tema nyongo
 
..sio kweli.

..Polisi wetu wanatakiwa watekeleze majukumu yao kwa kuzingatia utu na maadili.
Walikwisha tuelekeza na ndiyo maana tunaambiwa tii amri bila shurti. Polisi hawawezi kubembeleza mhalifu
 
Hyo siyo kesi ya madai,
Hyo ni kesi inayohusu uhaini na kukinukisha..
Mnataka muanze kukinukisha hapo ili iweje baadaye?
Polisi hao hawana dogo na hawajalala fofofo
 
Polisi huwa wanakupa unachotaka
Ukitaka vurugu na uanaharakati mahali pao pa kazi watakupa.
Ukitaka amani, maelewano na utii wa sheria, napo watakupa..

SASA NI WAJIBU WAKO KUCHAGUA KAPU UNALOTAKA
 
Walikwisha tuelekeza na ndiyo maana tunaambiwa tii amri bila shurti. Polisi hawawezi kubembeleza mhalifu

..hata mhalifu asiye na silaha hapaswi kupigwa na kujeruhiwa.

..tunapaswa kuwa taifa linalojali utu, na ubinadamu.
 
Kwa kosa alilofanya huyo raia la kurusha ngumi kwa polisi ingekua ni polisi wa marekani angekua kashakufa kwa kupigwa risasi, polisi wa Tz wapongezwe kwa kutumia reasonable force , nguvu iliyotumika kumdhibiti ni nguvu ambayo haijavunja sheria.
😂😂😂 Sicheki Kwasababu umeandika Kwa kuchekesha ila nacheka Kwasababu namuonea huruma aliekuzaa wewe
 
Na hapo kweli uliridhika huyo/hao waalimu walifanya jambo stahiki kwa mwanao?

Je, wewe mwenyewe ungefanya nini na mwanao katika hali ya namna hiyo?

Ina maana hao walimu, au wewe mwenyewe, mmejishusha na kuwa katika ngazi ya akili za huyo mtoto; hamna tofauti kabisa na yeye?

Hao walimu walitakiwa kuwajibishwa, lakini naona wewe mwenyewe mzazi ulifurahia mwanao kufanyiwa unyama kama huo.
mwanangu = rafiki yangu
 
Angekuwa USA angekwisha tema nyongo
USA Polisi huwa hawacheki na kima ukileta cha kuleta wanakupiga risasi live. Sasa huyo nyumbu anaonekana kabisa namkimbilia askari na kumkanyaga kwa nyuma na bado akaendelea kumrushia ngumi askari mwingine, huyo kibaka tu walitakiwa kumlenga ya kichwa tu.
 
Fikiria we mkewe na wanao mnaona anabondwabondwa live hapo.
Au ulimtuma akapigwe ?
maana we mdangaji ulieshindikana hapa.
Hizo ni ajali tu kama ajali zingine, hata we usijiamini sana mmeo anaweza pigwa tu na utamuuguza
 
Watanganyika huko Zanzibar yalitokea zaidi ya haya munayoyaona mukawa mnafurahia kisa ma askari walitokea Tanganyika sasa Wacha yakukuteni na bado, na hiyo siku mloandaa maandamano athubutu mtu kuingia barabarani muone kitakachowakuta 🤣
 
Hizo ni ajali tu kama ajali zingine, hata we usijiamini sana mmeo anaweza pigwa tu na utamuuguza
Mume wangu tena, hata wewe usikute ni katoto ka Michepuko yangu mjaa laana weye.
Hao masingle maza wenu ndo wanatuletea laana km wewe mitaani huku.
We binti mzuri una mambo yako uende kuandamana eti unafatilia kesi bwege wewe.
 
mwanangu = rafiki yangu
Lugha gongana!
Hili jukwaa linakusanya kila rika lililopo nchini. Sasa naona tupo kwenye ujenzi wa ule mnara usemwao kwenye hadithi za wenye imani zao!

Na kiuhalisi, Tanzania sasa hivi tupo kwenye hali hiyo sasa hivi. Kila mtu anazungumza lake. Nchi imekaa kichizi chizi katika kila jambo.
 
Back
Top Bottom