GE2025 Video: Polisi zaidi ya 10 wakimshambulia mwananchi aliyefika mahakama kuu kufuatilia kesi ya Lissu

GE2025 Video: Polisi zaidi ya 10 wakimshambulia mwananchi aliyefika mahakama kuu kufuatilia kesi ya Lissu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ukiwa mkaidi utapigwa tu hakuna namna.
Huyo raia kulikua na haja gani ya kumpiga ivyo kwanini wasinge tumia PGO..

Ingetokea huyo jamaa akafa papo hapo ndipo utakuja kujua kua SERIKALI inge wakana hao askari kua wenyewe hawajawatuma kufanya hicho walicho kifanya..

Ni upolisi wa ENZI za SLAVERY NA FEUDALISM ndio ILIKUAGA hivyo..For sure hakikubarikii
 
Naapa mbele za Mungu, sitakaa nikamsalimia Polisi + ndugu zake nikiwajua maishani mwangu. Polisi wote na alietoa maamuzi hayo walaaniwe iwe na Mungu au mizimu. Huyo jamaa anaepigwa namjua.
 
HUU UZI NI WAKUTAFUTIANA BAN MODS NAOMBA MUACHE TUMALIZIANE STRESS HUU PLS
 
Inatakiwa siku polisi anakula kipondo heavy ili na wao wajifunze
Mbona polisi wanapigwa mara kwa mara Hadi wanakuja kuokolewa na Raia Wema shida n kwamba unakuta hawajavaa uniform ndo maana tunashindwa kujua kama n polisi au la
 
Kosa walilofanya polisi ni kumtandika virungu na kumuacha aondoke ilitakiwa akamatwe na kesho apelekwe mahakamani , kufanya resistance kiasi cha kurushia polisi ngumi hilo kosa la anatakiwa ashtakiwe.
 
Hivi hawa polisi wameshindwa kabisa kuwekeza kwenye matumizi ya akili zaidi kwenye karne hii ya 21, badala ya nguvu na ubabe usio na ulazima! Inakuwaje kwenye dunia ya leo bado tuna polisi wa aina hii!
Kwa kosa alilofanya huyo raia la kurusha ngumi kwa polisi ingekua ni polisi wa marekani angekua kashakufa kwa kupigwa risasi, polisi wa Tz wapongezwe kwa kutumia reasonable force , nguvu iliyotumika kumdhibiti ni nguvu ambayo haijavunja sheria.
 
Excessive use of force & violence, huo upigaji si sawa.
Kama amevunja sheria si akamatwe na kuchukuliwa hatua stahiki.


Nje ya mada kidogo:
Watu wakija kuhudhuria kesi, na ikitokea wamekua wengi kuliko nafasi iliyopo ndani ya chumba cha mahakama, hivyo kuombwa kuondoka, lakini wakagoma. Nini inabidi kifanyike?
Polisi wametumia reasonable force ukumbi wa mahakama umejaa wakawaambia waondoke huyo raia akawarushia ngumi polisi kwahiyo wakamdhibiti kwa virungu, kwa polisi wa marekani wangemshona risasi
 
Polisi wametumia reasonable force ukumbi wa mahakama umejaa wakawaambia waondoke huyo raia akawarushia ngumi polisi kwahiyo wakamdhibiti kwa virungu, kwa polisi wa marekani wangemshona risasi
Mkuu,wewe umeona clip nyingine zaidi ya hii iliyopostiwa hapa? coz maelezo yako yanamaanisha kua,chanzo cha huyo jamaa kupigwa ni alirusha ngumi,

Binafsi sijaona huyo jamaa akirusha ngumi bali nimeona alikua anatumia mikono yake kuzuwia fimbo zinazomuijia,sidhani kama katika hali hiyo ya kuzungukwa hivyo kama angejaribu kurusha ngumi.
 
Kwa kawaida watu wengi wanafikiri kuangusha serikali ni kazi ngumu.Kazi ngumu ni Kujenga Serikali,kazi ngumu ni kuilinda Serikali.

Kwa nini nimeleta Huu mjadala?Sisi Keyboard warriors mtandaoni hasa Hapa Tanzania tunafikiri kwamba kuangusha Serikali ni kazi Ngumu.Hapana sio kazi ngumu.Kazi ngumu ni kujenga Serikali.

Unaweza kuwa Umekaa Twitter au JF au kwenye kijiwe cha kahawa ukilalamika na kulaumu serikali.Pamoja na lawama na malalamiko yako unasahau kwamba ukiamua Kuangusha Serikali ni Jambo Rahisi sana.Jambo gumu litakuwa ni kujenga serikali mpya.

So tunapojadili changamoto za nchi yetu tusisahau kwamba ni rahisi sana sisi wananchi kuiangusha serikali yetu ili sio Rahisi kuijenga.Kwa nini ni ngumu kuijenga?Kwa sababu tofauti zetu za mitazamo na fikra kuhusu namna tunataka serikali iendeshwe,nani aiendeshe,iwe ni muundo wa namna gani n.k. bad itaendelea kuwepo hata baada ya kuiondoa serikali iliyopo.

So kabla ya kuboma Serikali yetu tutafakari pia namna ambavyo tutaijenga.

Historia inaonesha kwamba Wananchi walipoamua kuongusha Serikali yao walihitaji siku 3 tu kuangusha serikali.Mfano Mwepesi ni Nepal ambao Serikali yao ilianguka ndani ya siku 2.

Nimechokoza mjadala.Tutiririke
 
Back
Top Bottom