Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 6,978
- 12,641
Polisi hawataiona pepo
Clip imekatwa nenda kwa Millard Ayo kapost clip nzima ikionyesha akiwarushia ngumi polisi , hizi clip huwa zinakatwa kwasababu maalum , kama umeambiwa ukumbi umejaa unaondolewa eneo la mahakama alafu unarusha ngumi lazima adhibitiwe.Mkuu,wewe umeona clip nyingine zaidi ya hii iliyopostiwa hapa? coz maelezo yako yanamaanisha kua,chanzo cha huyo jamaa kupigwa ni alirusha ngumi,
Binafsi sijaona huyo jamaa akirusha ngumi bali nimeona alikua anatumia mikono yake kuzuwia fimbo zinazomuijia,sidhani kama katika hali hiyo ya kuzungukwa kama angejaribu kurusha ngumi.
Failure wa lasaba b unategemea atumie akili,Hivi hawa polisi wameshindwa kabisa kuwekeza kwenye matumizi ya akili zaidi kwenye karne hii ya 21, badala ya nguvu na ubabe usio na ulazima! Inakuwaje kwenye dunia ya leo bado tuna polisi wa aina hii!
Jamaa wana roho za kishetani sana, ndio maana sihitaji urafiki au ukaribu na polisi hata akiwa ndugu yangu.Hata kama ni maagizo kutoka juu ila na roho mbaya wanayo na utu hawana.
Kitu kizuri ni kwamba hakuna uovu ambao hautalipwa.
Wachana na PGO,hata kama wanaisoma usiwaamini sana uwezekano wa kuipuuza ili wakuvunje ni 99%.Hivi hawa jamaa wanasoma hata PGO zao kweli?
Wanampiga Mwananchi kiasi hicho, ambaye hana hata silaha
Kuna haja, hili jeshi likavunjwa tuanze kuajiri upya
Hao wapo kazini na wametumwa wafanye hivyoHivi hawa polisi wameshindwa kabisa kuwekeza kwenye matumizi ya akili zaidi kwenye karne hii ya 21, badala ya nguvu na ubabe usio na ulazima! Inakuwaje kwenye dunia ya leo bado tuna polisi wa aina hii!
Mkuu ondoka kama unaweza kuondoka hawa watu ni vichaa mengine tujitahidi kuyaepuka pale yanapowezekana.Unaambiwa watu wako kwenye foleni mapema sana baadae mnakuja kuambiwa ukumbi umejaa. Wamejaa kina nani?
Nini kifanyike?
Unaongea tu upo nyuma ya keyboardHapo raia kumi tu wangeingia walikuwa wanawavuruga hao was3nge wote hapo na ma helmet yao.. labda wangetumia bunduki tu..
Watu wenyewe wanaonekana hata nguvu hawana..