Uchaguzi 2020 Video: Pongezi nyingi kwa aliyewaza kutumia wimbo wa Bob Marley wa "One Love" kwenye kampeni za Lissu

Uchaguzi 2020 Video: Pongezi nyingi kwa aliyewaza kutumia wimbo wa Bob Marley wa "One Love" kwenye kampeni za Lissu


Kama inavyoonekana kwenye video hapo, wimbo huu umekuwa ukileta hamasa kubwa sana kwa wananchi pale unapopigwa kwenye kampeni za mgombe Rais kupitia CHADEMA Mh. Tundu A. Lissu.

Wimbo huu unatuma ujumbe wa muungano na upendo katika kipindi ambacho tunapitia changamoto kubwa ya siasa za chuki na uadui. Tetesi nilizoambiwa wimbo huu kwa sasa ni marufuku kupigwa katika vyombo fulani vya redio ili kutoonyesha kuunga mkono upande fulani mpaka kipindi hiki cha uchaguzi kitakapopita.

Nawakumbusha watanzania wote tukapige kura pamoja with "one love", tumchague kiongozi atakayetupa furaha na maendeleo kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.
Mukidaiwa fedha na familia ya Bob Marley mtamlaumu nani?
 
Back
Top Bottom