Uchaguzi 2020 Video: Profesa Lipumba apokelewa Dar akitokea Dodoma kuchukua Fomu ya Uteuzi

Baada ya kuchukua form ya kugombea urais wa JMT kutoka Tume ya Uchaguzi (NEC) Mwenyekiti wa CUF, Ibrahim Lipumba leo amepokewa na umati wa watu ambao haijawahi kutokea tangia Tanzania ipate uhuru.

Hongera sana Professor Lipumba na msaidizi wako Mage Sakaya, hayo ndiyo malipo mliyo stahili kutoka kwa wapenda mageuzi wa Tanzania.

Akii nimecheka.
 
Si aache am support mumewe! Urais ni mkubwa kuliko kufanya kazi ofisi ya UN. Unless kama na yeye anajuwa kama mumewe ni clown
Binafsi sioni kama kuna ndoa hapo kwa huyo poropesa!
 
Baada ya kuchukua form ya kugombea urais wa JMT kutoka Tume ya Uchaguzi (NEC) Mwenyekiti wa CUF, Ibrahim Lipumba leo amepokewa na umati wa watu ambao haijawahi kutokea tangia Tanzania ipate uhuru.

Hongera sana Professor Lipumba na msaidizi wako Mage Sakaya, hayo ndiyo malipo mliyo stahili kutoka kwa wapenda mageuzi wa Tanzania.

CUF Habari . ELIMU ya Profesa Lipumba ndiyo imeifikisha CUF hapa. Hata aibu hamuoni. Shame on you Lipumba
 
Baada ya kuchukua form ya kugombea urais wa JMT kutoka Tume ya Uchaguzi (NEC) Mwenyekiti wa CUF, Ibrahim Lipumba leo amepokewa na umati wa watu ambao haijawahi kutokea tangia Tanzania ipate uhuru.

Hongera sana Professor Lipumba na msaidizi wako Mage Sakaya, hayo ndiyo malipo mliyo stahili kutoka kwa wapenda mageuzi wa Tanzania.

Mkuu nadhan umeattach file tofauti kimakosa. Huu sio kweli msafara wa mgombea uenyekiti serikali ya mtaa Kaka?
 
Mkuu hilo ni faili lenyewe haswaaa akionekana le profesee
 
Back
Top Bottom