Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Mwenyekiti wetu elimu yake dhaifu tunaogopa Profesa atamfunikaKwani Chadema na ACT walikuwa wapi ili kwa umoja wao wampokee profesa? Ptuuu labda vyama hivyo havipendi wasomi. Hahahahaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyekiti wetu elimu yake dhaifu tunaogopa Profesa atamfunikaKwani Chadema na ACT walikuwa wapi ili kwa umoja wao wampokee profesa? Ptuuu labda vyama hivyo havipendi wasomi. Hahahahaa.
Huyu ni Professor, mpe heshima yake unapoandika jina lakeBaada ya kuchukua form ya kugombea urais wa JMT kutoka Tume ya Uchaguzi (NEC) Mwenyekiti wa CUF, Ibrahim Lipumba leo amepokewa na umati wa watu ambao haijawahi kutokea tangia Tanzania ipate uhuru.
Hongera sana Professor Lipumba na msaidizi wako Mage Sakaya, hayo ndiyo malipo mliyo stahili kutoka kwa wapenda mageuzi wa Tanzania.
Hoyeee wapinzani ndembendembe, hoi hoi kabisa kifo, kifo cha mende, chaliiiii.CUF oyeee