Video queen, Tunda atupia majibu yake ya VVU/UKIMWI mtandaoni!

Video queen, Tunda atupia majibu yake ya VVU/UKIMWI mtandaoni!

Mbona amepima katatizo kamoja tu,ameacha vitu muhimu kama,malaria parasites,bile salts,amoeba,eosinophilis,basonophilis,ketones,bilirubin,urobibilinogen etc etc.
 
Hivi yule mwanamke anakuaga na tunda yupo kama Tomboy ni nani...somebody mawalla ndio yule baba yke alikua wakili maarufu Arusha au? Maana dem anaonekana mambo swafi
 
Jaman asikwambie mtu majibu ya ukimwi hayazoeleki hata kama hufanyi matusi mi kwa mara ya kwanza nilienda kupima vvu nilikuwa field ikatokea tu chance nikaingia kupima coz ilikuwa ni hapohapo hospital tulikuwa 27 ila tuliokuwa tayar kupima tulikuwa 5 basi tukapimwa tukawa tuko poa siku ingine nikarudi tu mwenyew kibahat mbaya maana niliona sina kazi nikasema ngoja nirud nikachek afya nilipokuwa nangoja majibu yaan akil haikuwq yangu doctor ananipigisha story hata simuelew
 
Hivi yule mwanamke anakuaga na tunda yupo kama Tomboy ni nani...somebody mawalla ndio yule baba yke alikua wakili maarufu Arusha au? Maana dem anaonekana mambo swafi
Mm mwenyewe najiulizaga ni nani na kwann hasukagi nywele?kipara mwanzo mwisho
 
Yaani sikuhizi usimuamini mtu kirahisi hata kama kakuonyesha karatasi ya majibu. Hii nchi ishakuwa ya magumashi, Dokta/ mtu wa maabara ukimpa 30 tu anakuandikia bila kupima. Ukitaka kupima na mtu wako tafuta hospital ambayo iko mbali na mlipo na hakuna mtu anawafahamu ndio mnaweza kuwa na uhakika wa majibu ya kilammoja.
 
Back
Top Bottom