Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na usawa wenyewe wa yohana madau yamepungua sana, Bila matangazo ni shidaAnavutia wateja mana Biashara matangazo na Mteja mfalme
😀😀😀😀We muache tu ,sijampa kibali cha kumpost Tunda humu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]au angeileta Msagasumu Ingenakshiwa balaa
Kibibi huko kimeshusha tu miakaDuuhhh kumbe kana miaka 20 tu kameshakubuhu.... mpaka kafikie 25 na mimi ntakuwa nshakamanfongo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mungu anakuonaNilitegemea hii habari kaileta hance mtanashati [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mungu anakuona
Mm mwenyewe najiulizaga ni nani na kwann hasukagi nywele?kipara mwanzo mwishoHivi yule mwanamke anakuaga na tunda yupo kama Tomboy ni nani...somebody mawalla ndio yule baba yke alikua wakili maarufu Arusha au? Maana dem anaonekana mambo swafi
Na picha zake zote zote anapiga na mastar wakike...bado cjamuelewaMm mwenyewe najiulizaga ni nani na kwann hasukagi nywele?kipara mwanzo mwisho
Kumbe mm na ww tunamhisigi sawa...Na picha zake zote zote anapiga na mastar wakike...bado cjamuelewa