Video queen, Tunda atupia majibu yake ya VVU/UKIMWI mtandaoni!

Video queen, Tunda atupia majibu yake ya VVU/UKIMWI mtandaoni!

huyo atakuwa na wasiwasi inaelekea hivi karibuni kapiga kavukavu
 
Kama ni hivo ngoja ule mchakato wa kumfanya mchepuko niuharakishe.
 
Mbona ameenda miko kidispensary aende hospitali kabisa magomeni au mnazi mmoja au kitengo chenyewe pale Angaza
Hongera kwa ujasiri binti [emoji520]
 
Back
Top Bottom