Video queen wa video ya 'Kwetu' ni balaa

Kwa nini mkuu explain please

pwilo;
Usimtamani mke wa ntuu! Tiyari ana wake, mwombe Mola ka kuna ndogo ake umnyatie huyo si huyu. 2 kawaida ni kuwa ajaye nyuma ndo mzuri zaidi kwani wazuri baado kuzaliwa
 
Nisaidie # zake basi mkuu nataka Nile mtaji [emoji2] [emoji2] [emoji2]
wa hivyo mtaani wako kibao,sema tatizo mpaka wawe maarufu ndio tunataka kuhonga mtaji.Kitaa kuna wengine walimuona wa kawaida,ila baada ya kuonekana kwa kioo nao wanataka mzigo.
 
Kula kwa macho, kukojoa bure dabwa dabwa...!
 
Elimu ndio mtihani kwao
maana wengi huwa hawapendi shule wanajivunia uzuri wao.
Wachache sana wenye kujitambua ndio wanazingatia elimu na kufanya kazi za maana.
 
Oi nimechukua mkopo benki nipe no zake
 
Haka ka dada ni kazuri sana, tatizo tu ni kwamba 'hakana matako' πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…