The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Kwa kweli mimi ni ki la za kuelewa ni tatizo la kurithi utanisamehe kwa hilo, hivi kumbe hawa wanaokuwa video queen wanapata baraka za wazazi kwanza ?? Kwa hiyo mwanao hawezi kuwa video queen mpaka umruhusu ??
Kuna kazi binti yako akifanya iwe kwa ruksa au kwa kiburi hupaswi kushangaa akipiga picha uchi...
.filam..
muziki
na kadhalika........kwenye entertainment world wana msemo maarufu sana unasema
'sex always sells'