Video Queens wa bongo na skendo za picha chafu!

Video Queens wa bongo na skendo za picha chafu!

Kwa kweli mimi ni ki la za kuelewa ni tatizo la kurithi utanisamehe kwa hilo, hivi kumbe hawa wanaokuwa video queen wanapata baraka za wazazi kwanza ?? Kwa hiyo mwanao hawezi kuwa video queen mpaka umruhusu ??

Kuna kazi binti yako akifanya iwe kwa ruksa au kwa kiburi hupaswi kushangaa akipiga picha uchi...

.filam..
muziki
na kadhalika........kwenye entertainment world wana msemo maarufu sana unasema
'sex always sells'
 
Oh sawa sawa ,

Zamani kulikua na usemi maarufu sana 'Dunia imevaa sketi'

Kwa maoni yako haya sijui sasa hivi itakua imevaa nini

Hivi mtoto kuona uchi wa baba/mama au baba/mama kuona uchi wa mwanae sio laana ?

Hapa naongelea utamaduni wa Kiafrika
 
huyo tunda sio nilisikia kaukwaa ,,,na huyo gigy na amber wanajiuza sanaa ,,,,wapo kama .....na..mke wa mr green walivyokuwa wanajiuza
 
Wanawake hasa wasani ni bidhaa rahisi isiyo na lebo, hawana dhamani popote sio msibani sio kanisani, hawa ni wauzaji kama wauzaji wengine tofauti zao ni majina tu.
 
Pesa tulizokuwa tunawahonga, zinatumika kulipa kodi ya serikali.sikuhizi hakuna jana janja ya kukwepa kodi kama mwanzo.
 
aiseeeee huyo wa kwanza huna namba zake za simu?!
 
Usiwafollow na/au Jitoe kwenye social media kama zinakukera sana vinginevyo unazifurahia.
 
Hivi karibuni vijana wengi wa kike wanaotumiwa na wasanii wetu katika utengenezaji wa video zao wamekuwa na mtindo mchafu wa kupiga picha za nusu uchi na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii,swali la kujiuliza hapa je ni lazima vijana hawa kukaa nusu uchi ndo wapate kazi au kuna biashara zingine wanazifanya kwa mgongo wa kuwa video queens?maana sasa imekuwa kero kila ukiingia kwenye mitandao ya kijamii unakutana na picha zao kwa kweli ndo maana kumekuwa na wimbi kubwa la kumomonyoka kwa maadili Tanzania!View attachment 377512View attachment 377514View attachment 377515View attachment 377516View attachment 377517
[emoji39]
 
Oh sawa sawa ,

Zamani kulikua na usemi maarufu sana 'Dunia imevaa sketi'

Kwa maoni yako haya sijui sasa hivi itakua imevaa nini

Hivi mtoto kuona uchi wa baba/mama au baba/mama kuona uchi wa mwanae sio laana ?

Hapa naongelea utamaduni wa Kiafrika
Imevaa bikini
 
Usiwafollow na/au Jitoe kwenye social media kama zinakukera sana vinginevyo unazifurahia.
Mkuu sasa hiv uwafollow au usiwafollw picha zao utaziona tu maana watu wengi wamekuwa wanazishare hizo picha kwa page zao kuhusu kujitoa kwenye social media siwez maana ni sehem ya kupatia habari!
 
Back
Top Bottom