Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Hussein ndiye aliyeusimamisha uislam.Hussein aliuliwa na Mashia wenyewe afu mnajikuta mnampende, halafu kingine hussein hajawahi kuwa imam..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hussein ndiye aliyeusimamisha uislam.Hussein aliuliwa na Mashia wenyewe afu mnajikuta mnampende, halafu kingine hussein hajawahi kuwa imam..
Sio kweli.Hussein ndiye aliyeusimamisha uislam.
Kweli.Sio kweli.
Kwa ulichokitamka hata kukuelewesha naona aibu.Kweli.
Yesu mnasema alibatizwa msalabani. mungu anabatizwa?Imam Hussein kakasirishwa na Sunni wahabi kwa kuchezea tawfiq walizopewa kaamuua kutunisha misuli yake.
Kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein Ibn Ali AS aendelee kupewa qauli thabeet
Wewe ni muislam ?Bora kuwa Pig kuliko kuwa SHIA.
Mji wa Makkah wote ni mtakatifu sio pale ipo saa tu lakini pale ndani ya Masjid ilipo Kaaba ni patakakifu zaidi. Hata Radi ipige ndani ya Kaaba kwani Radi ni ya nani ya kwenu au ya Mungu. Usifikirie Mungu akifanya kitu basi hakupendi, ungemuliza Nabii Ayoub. Sometimes Mungu anawatest watu kuona akili zao.Hakuna sehemu imeandikwa kuwa ipo ndani ya Masjid Harram
His storia huwa inasikitisha sanaNikikumbuka kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein alivyouwawa kikatili kuutetea, kuulinda na kuupigania Uislam ninalia sana.
Kupitia yeye leo tumepewa Tawfiq/Tawfeek (the ability and opportunity to succeed) na tuna uhakika wa Jannah na Firdaus.
Allah azidi kumfanyia wepes na aendelee kumpa qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein Ibn Ali AS the grandson of the prophet, the son of the prophet's cousin, the son of the daughter of the prophet and the Father of Imaam Ali peace be upon him.
View attachment 3080870
AgreedMji wa Makkah wote ni mtakatifu sio pale ipo saa tu lakini pale ndani ya Masjid ilipo Kaaba ni patakakifu zaidi. Hata Radi ipige ndani ya Kaaba kwani Radi ni ya nani ya kwenu au ya Mungu. Usifikirie Mungu akifanya kitu basi hakupendi, ungemuliza Nabii Ayoub. Sometimes Mungu anawatest watu kuona akili zao.
Unaogopa Msalaba wewe ni Dracula? muslim ina relate na mashetani Dracula wanaogopa kitunguu Swaum na Malaika wa Allah pia Wanaogopa pia Ni marufuku kunukia harufu ya Vitunguu msikitini kwani Malaika wa Allah wanashindwa kukaa msikitini hivi Malaika wananusa harufu enhVichaa wengine noma sana. Hio saa nani katengeneza si mkristo.labda ndani kuna msalaba. Mungu akamua kupiga moto. Afu sioni reason ya dini, clock tower hilo ni pambo tena liko pembeni sio ndani ya Masjidi.
Ushasema Mungu na sio Allah...Mji wa Makkah wote ni mtakatifu sio pale ipo saa tu lakini pale ndani ya Masjid ilipo Kaaba ni patakakifu zaidi. Hata Radi ipige ndani ya Kaaba kwani Radi ni ya nani ya kwenu au ya Mungu. Usifikirie Mungu akifanya kitu basi hakupendi, ungemuliza Nabii Ayoub. Sometimes Mungu anawatest watu kuona akili zao.
TEna ninaefuata Quran na Sunnah.Wewe ni muislam ?
Mpaka karne hii bado unaamini hadithi kuwa radi ni malaika?Hamna kitu hapo... ni kawaida... Nimekumbuka Hadith ya Mtume wa Waislam alisema Radi ni Malaika na Malaika na ana mkono ambao anapiga kwa amri ya Allah.. hahahaha.
Some Jews came to the Messenger of Allaah, sallallaahu 'alayhi wa sallam, and said, “Tell us what thunder is? Muhammad, sallallaahu 'alayhi wa sallam, replied, 'It is an angel from Allaah’s angels that is set over clouds and in whose hands is a Mikhraaq by which he drives clouds away, directing them where Allaah commands him.'”
Sasa pale Kaaba na kwenye kaburi la Mudy Radi zimepiga sana miaka yote hadi wakristo walipokuja na tech ya kuweka earth belt ndipo radi zikakoma mean Malaika wa Allah wakashindwa kulipua kaaba na Dome la Mudy
Kwanini mungu anawajaribu watu? Nini kusudi la kujaribu?Mji wa Makkah wote ni mtakatifu sio pale ipo saa tu lakini pale ndani ya Masjid ilipo Kaaba ni patakakifu zaidi. Hata Radi ipige ndani ya Kaaba kwani Radi ni ya nani ya kwenu au ya Mungu. Usifikirie Mungu akifanya kitu basi hakupendi, ungemuliza Nabii Ayoub. Sometimes Mungu anawatest watu kuona akili zao.
Umekwisha jimilikisha uislam kama vile wewe ndie uliye uanzisha.TEna ninaefuata Quran na Sunnah.
MASHIA si katika waislamu, wameshakufurishwa muda mrefu hakuna kitenguzi cha uislamu ambacho mashia hawajakiingia na wanadhuoni wamekwishalithibitisha hilo.
Unajitafutia laana bila sababu za msingi.Imam Hussein kakasirishwa na Sunni wahabi kwa kuchezea tawfiq walizopewa kaamuua kutunisha misuli yake.
Kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein Ibn Ali AS aendelee kupewa qauli thabeet
Makafiri hamuoni taabu kutamka maneno ya kufuru , kwa vile unamuabudu Yesu na kumpa hadhi ya uungu ndio maana haiwi shida kwako kuendeleza ukafiri huo kwa wengine kuawapa sifa za uungu.Nikikumbuka kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein alivyouwawa kikatili kuutetea, kuulinda na kuupigania Uislam ninalia sana.
Kupitia yeye leo tumepewa Tawfiq/Tawfeek (the ability and opportunity to succeed) na tuna uhakika wa Jannah na Firdaus.
Allah azidi kumfanyia wepes na aendelee kumpa qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein Ibn Ali AS the grandson of the prophet, the son of the prophet's cousin, the son of the daughter of the prophet and the Father of Imaam Ali peace be upon him.
View attachment 3080870
Ukiwa mjinga kiasi hiki unastahili kupuuzwa.Israel sio watu wazuri
View attachment 3080863
Video ikionesha radi ikipiga jengo la Mekkah Clock tower.
Wakuu hii ina maana yoyote katika matukio ya siku za mwisho?
adriz
Maghayo
Kosugi
View: https://x.com/BRICSinfo/status/1828454013852905681?t=nDRuVs0Jjy6m0hj2bGc7HA&s=19