Video: Radi zimepiga Gaza utadhani kiama, sijui wana laana gani hawa

Video: Radi zimepiga Gaza utadhani kiama, sijui wana laana gani hawa

sijanyi kwa ajiri yao,nafanya kwaajiri ya Mungu.
Mfumo wa classes upo pote kwanzia Mbinguni,kuzimu na duniani, mifumo yote inayoendesha dunia na kuzimu ni copyright ya Mbinguni.
Pili jina la israel unajua maana yake alipewa yakobo akimaanisha Mtu aliyeshindana na Mungu.
Na pili Mungu amesema lazima uwe na amani na israel ili uwe na amani naye ,kuhusu matendo yao haikuhusu.Hapo Marekani kafahuru Mtiani huu.
Kitu tusichojua hata dunia nzima tukipigana na israel hatutomuweza na Mungu atakuwa upande wao,alishahaidi hivyo, na havihusiani na matendo yao.
Na hizo ndo sababu
We fala
 
Umeona sasa akili zako zilivyo za kipuuzi.

Jitahidi unavyo kuwa mwili na akili zako zikue sio unajaza tu mavuzi mpaka yanatoa mvi huku kichwani kukiwa hakuna kitu foolish
Tofautisha mavuzi yenye Mvi na yasiyo na Mvi with examples
 
Poleni sana wahanga, mara radi mara mabomu ya Israel


View: https://www.youtube.com/watch?v=FZNyigarxoI

Yaani US plus Israel ndiyo wakuomba wapewe Miezi mitatu ili waisimamishe Gaza? Kweli? Aibu iliyoje?
====
Israel’s ground invasion of Gaza could take up to three months, but will result in the final destruction of Hamas, Israeli Defense Minister Yoav Gallant told members of the country's Air Force on Sunday.

 
Yaani US plus Israel ndiyo wakuomba wapewe Miezi mitatu ili waisimamishe Gaza? Kweli? Aibu iliyoje?
====
Israel’s ground invasion of Gaza could take up to three months, but will result in the final destruction of Hamas, Israeli Defense Minister Yoav Gallant told members of the country's Air Force on Sunday.


Acheni kujificha ndani ya wananchi akina mama na watoto mpambane kiume, kwa sasa hivi mnafyatua rocket mkiwa ndani ya akina mama na watoto, mkijibiwa wanauawa kama senene, ingia kwenye mtandao wa Telegram uone mapicha ya kutisha.
 
Mawazo yako mkuu ,ila Tambua Mungu aliziumb mbingu yupo tayari kuangamiza dunia nzima kama wataenda kinyume na israel na hilo lipo wazi,haijalishi muisraeli ana haki au la, ma hilo kaagiza kwenye biblia.
Even mm nipo tayari kufa kuitetea israeli,
Kuna vichwa vina wadudu aiseee....hizi si akili za mtu labda ng'ombe.
 
Sababu ya kuwa tayari kufa kwa waisrael nini mkuu?. Jamaa wabaguzi hao kuliko mwanadamu yeyote duniani.
Acha uongo bwana, ukitaka kujua wanaobagua watu weusi kushinda wengine jaribu kwenda China, Russia, India na uarabuni.

Huko Uarabuni jaribu tu kuwaulizia wale mabinti wanaopelekwa huko kwenda kufanya kazi za ndani watakwambia waarabu ni watu wa namna gani, wenyewe bado wanaamini waafrika ni watumwa na wapagazi wao. Bure kabisa.
 
Back
Top Bottom