Video: Radi zimepiga Gaza utadhani kiama, sijui wana laana gani hawa

Video: Radi zimepiga Gaza utadhani kiama, sijui wana laana gani hawa

Acheni kujificha ndani ya wananchi akina mama na watoto mpambane kiume, kwa sasa hivi mnafyatua rocket mkiwa ndani ya akina mama na watoto, mkijibiwa wanauawa kama senene, ingia kwenye mtandao wa Telegram uone mapicha ya kutisha.
Si mpele askari wa mguu zipigwe za Mtaani!
====
Vita si nzuri. Israel aache jeuri na ubaguzi akubali kuishi na wapalestina katika misingi ya mataifa mawili. Taifa la Palestine na lile la Israel. Na maeneo yaliyoporwa yarudishwe. Kikiwemo kipande cha Jerusalem.
 
Mpaka sasa hivi binafsi sishauri askari waende maana mumekufa kama senene, kwa kweli sijui kisasi gani kingine hao Israel wanataka kufanya.
 
sijanyi kwa ajiri yao,nafanya kwaajiri ya Mungu.
Mfumo wa classes upo pote kwanzia Mbinguni,kuzimu na duniani, mifumo yote inayoendesha dunia na kuzimu ni copyright ya Mbinguni.
Pili jina la israel unajua maana yake alipewa yakobo akimaanisha Mtu aliyeshindana na Mungu.
Na pili Mungu amesema lazima uwe na amani na israel ili uwe na amani naye ,kuhusu matendo yao haikuhusu.Hapo Marekani kafahuru Mtiani huu.
Kitu tusichojua hata dunia nzima tukipigana na israel hatutomuweza na Mungu atakuwa upande wao,alishahaidi hivyo, na havihusiani na matendo yao.
Na hizo ndo sababu
Maneno hayo ya Mungu kusema yupo pamoja na Israel yapo kwenye kitabu gani hicho?.
 
Acha uongo bwana, ukitaka kujua wanaobagua watu weusi kushinda wengine jaribu kwenda China, Russia, India na uarabuni.

Huko Uarabuni jaribu tu kuwaulizia wale mabinti wanaopelekwa huko kwenda kufanya kazi za ndani watakwambia waarabu ni watu wa namna gani, wenyewe bado wanaamini waafrika ni watumwa na wapagazi wao. Bure kabisa.
Sijafika Russia tu katika hizi nchi ulotaja wewe ushawahi kufika hizo nchi?. Umeuona ubaguzi wake?.

China nilipanda mpaka bodaboda wa Baiskeli.
Dubai dereva taxi wangu mara zote yupo dada wa kikameruni pale.
India Bombay,Kashmandu na Ghujirati nishafika.
 
rrelevant with the the issue of racism I'm talking about.

Sijafika Russia tu katika hizi nchi ulotaja wewe ushawahi kufika hizo nchi?. Umeuona ubaguzi wake?.

China nilipanda mpaka bodaboda wa Baiskeli.
Dubai dereva taxi wangu mara zote yupo dada wa kikameruni pale.
India Bombay,Kashmandu na Ghujirati nishafika.
Your reasoning is irrelevant and not in line with the issue of racism I'm talking about.
 
Mawazo yako mkuu ,ila Tambua Mungu aliziumb mbingu yupo tayari kuangamiza dunia nzima kama wataenda kinyume na israel na hilo lipo wazi,haijalishi muisraeli ana haki au la, ma hilo kaagiza kwenye biblia.
Even mm nipo tayari kufa kuitetea israeli,
Makubwa wakati huko israel wakristo ni 2% na waislamu 20% na hivi unajua hawa ndio walimuua huyo mungu wako?
 
Cha ajabu Israel inategemea msaada wa kijeshi kutoka Marekani. Kwa nini Mungu wao hawasaidii?
Shida uliyonayo na wengi pia , ni kutokujua, Marekani uwezo wake, unasimamiwa na nani,
Ukienda congresa ,asilimia 65 ni majewis, wale mademocrat ndiyo kabisaa asilimia 85.
Njoo kwa viongozi, wengi wao ni majewis.
Ulijua kama Blinken ni myahudi? Basi wapo hadi kwenye nyanja za uchumi wa Marekani.
Uliza sasa hao waundaji wa midege yao, hao Boeing ndiyo wataalamu humo. Wapo kwenye mifumo nyeti ya Marekani.
 
Kuna sintofahami Israel. Mtoto wa Netanyahu amejificha US wakati alitakiwa kuwa front line. Wanajeshi wa Israel walalamika.
====
24 Oct, 2023 19:36
HomeWorld News

Israel soldiers angry at Netanyahu’s US-based son – Times​

The prime minister’s son has “abandoned” his country for Florida, several reservists have said
Israel soldiers angry at Netanyahu’s US-based son – Times

File photo: Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu (right) and his eldest son Yair in Tel Aviv, January 23, 2020. © Aleksey Nikolskyi/AP

Prime Minister Benjamin Netanyahu’s son Yair is not among the 300,000 reservists mobilized for the war with Hamas, but remains in Florida doing nonprofit charity work. Several Israeli soldiers feel this is a betrayal, according to the Times of London.
“Yair is enjoying his life at Miami Beach while I’m on the front lines,” one soldier, a volunteer facing Hezbollah on the border with Lebanon, told the British newspaper. Requesting anonymity for security reasons, the soldier complained that “the people responsible for this situation” aren’t shouldering their share of the burden, fueling “distrust and anger” in the ranks.
“Our brothers, our fathers, sons, are all going to the front line, but Yair is still not here. It does not help build trust in the leadership of the country,” the soldier told the Times.
Another soldier, who volunteered and is preparing to deploy to the southern front against Hamas, said he flew back from the US and left his job, life, and family.
“There is no way I can stay there and abandon my country, my people, at this critical time. Where is the prime minister’s son? Why isn’t he in Israel?” the soldier said. “It is the most uniting moment for us as Israelis in our recent history and every single one of us should be here right now, including the prime minister’s son.”
 
Shida uliyonayo na wengi pia , ni kutokujua, Marekani uwezo wake, unasimamiwa na nani,
Ukienda congresa ,asilimia 65 ni majewis, wale mademocrat ndiyo kabisaa asilimia 85.
Njoo kwa viongozi, wengi wao ni majewis.
Ulijua kama Blinken ni myahudi? Basi wapo hadi kwenye nyanja za uchumi wa Marekani.
Uliza sasa hao waundaji wa midege yao, hao Boeing ndiyo wataalamu humo. Wapo kwenye mifumo nyeti ya Marekani.
Story za vijiweni.... eti 85%!!
 
Achana na hadithi za kitaahira zisizo na kichwa wala miguu.

Huyo mungu alishindwa kumuangamiza shetani aje kuiangamiza dunia, kwa uwezo upi alionao?

Achana na hizo ngonjera Mungu hayupo na hajawahi kuwepo.
Hahaha kama unaamini shetani basi amini pia Mungu
 
Mkiambiwa israel ni taifa teule la Mungu muwe mnaelewa msilete ubishi wa kidini na kisiasa. Tena hiyo ni radi tu, Kuna magonjwa, njaa, tufani na matetemeko usishangae wakapigwa nayo kama watashupaza shingo. Sisi wengine wa mataifa mzeituni mwitu hatuilaani israel mataifa yetu yasije yakapigwa kwa ghadhabu ya Mungu na kulaaniwa. Bora tuibariki israel tu na tuombee watu wa palestina Mungu awafunulie neema kuu waitambue israel na waishi kwa amani
 
Back
Top Bottom