TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Si mpele askari wa mguu zipigwe za Mtaani!Acheni kujificha ndani ya wananchi akina mama na watoto mpambane kiume, kwa sasa hivi mnafyatua rocket mkiwa ndani ya akina mama na watoto, mkijibiwa wanauawa kama senene, ingia kwenye mtandao wa Telegram uone mapicha ya kutisha.
Akili huna jombaMawazo yako mkuu ,ila Tambua Mungu aliziumb mbingu yupo tayari kuangamiza dunia nzima kama wataenda kinyume na israel na hilo lipo wazi,haijalishi muisraeli ana haki au la, ma hilo kaagiza kwenye biblia.
Even mm nipo tayari kufa kuitetea israeli,
Si mpele askari wa mguu zipigwe za Mtaani!
====
Vita si nzuri. Israel aache jeuri na ubaguzi akubali kuishi na wapalestina katika misingi ya mataifa mawili. Taifa la Palestine na lile la Israel. Na maeneo yaliyoporwa yarudishwe. Kikiwemo kipande cha Jerusalem.
Maneno hayo ya Mungu kusema yupo pamoja na Israel yapo kwenye kitabu gani hicho?.sijanyi kwa ajiri yao,nafanya kwaajiri ya Mungu.
Mfumo wa classes upo pote kwanzia Mbinguni,kuzimu na duniani, mifumo yote inayoendesha dunia na kuzimu ni copyright ya Mbinguni.
Pili jina la israel unajua maana yake alipewa yakobo akimaanisha Mtu aliyeshindana na Mungu.
Na pili Mungu amesema lazima uwe na amani na israel ili uwe na amani naye ,kuhusu matendo yao haikuhusu.Hapo Marekani kafahuru Mtiani huu.
Kitu tusichojua hata dunia nzima tukipigana na israel hatutomuweza na Mungu atakuwa upande wao,alishahaidi hivyo, na havihusiani na matendo yao.
Na hizo ndo sababu
Sijafika Russia tu katika hizi nchi ulotaja wewe ushawahi kufika hizo nchi?. Umeuona ubaguzi wake?.Acha uongo bwana, ukitaka kujua wanaobagua watu weusi kushinda wengine jaribu kwenda China, Russia, India na uarabuni.
Huko Uarabuni jaribu tu kuwaulizia wale mabinti wanaopelekwa huko kwenda kufanya kazi za ndani watakwambia waarabu ni watu wa namna gani, wenyewe bado wanaamini waafrika ni watumwa na wapagazi wao. Bure kabisa.
Sijafika Russia tu katika hizi nchi ulotaja wewe ushawahi kufika hizo nchi?. Umeuona ubaguzi wake?.
China nilipanda mpaka bodaboda wa Baiskeli.
Dubai dereva taxi wangu mara zote yupo dada wa kikameruni pale.
India Bombay,Kashmandu na Ghujirati nishafika.
rrelevant with the the issue of racism I'm talking about.
Your reasoning is irrelevant and not in line with the issue of racism I'm talking about.Sijafika Russia tu katika hizi nchi ulotaja wewe ushawahi kufika hizo nchi?. Umeuona ubaguzi wake?.
China nilipanda mpaka bodaboda wa Baiskeli.
Dubai dereva taxi wangu mara zote yupo dada wa kikameruni pale.
India Bombay,Kashmandu na Ghujirati nishafika.
Mwana wa House girl, hawezi kuwa mrithi. Mnapoteza muda bure.Mhh, but Free Palestine 🇮🇱!.
Makubwa wakati huko israel wakristo ni 2% na waislamu 20% na hivi unajua hawa ndio walimuua huyo mungu wako?Mawazo yako mkuu ,ila Tambua Mungu aliziumb mbingu yupo tayari kuangamiza dunia nzima kama wataenda kinyume na israel na hilo lipo wazi,haijalishi muisraeli ana haki au la, ma hilo kaagiza kwenye biblia.
Even mm nipo tayari kufa kuitetea israeli,
Shida uliyonayo na wengi pia , ni kutokujua, Marekani uwezo wake, unasimamiwa na nani,Cha ajabu Israel inategemea msaada wa kijeshi kutoka Marekani. Kwa nini Mungu wao hawasaidii?
Fake newsPoleni sana wahanga, mara radi mara mabomu ya Israel
View: https://www.youtube.com/watch?v=FZNyigarxoI
Story za vijiweni.... eti 85%!!Shida uliyonayo na wengi pia , ni kutokujua, Marekani uwezo wake, unasimamiwa na nani,
Ukienda congresa ,asilimia 65 ni majewis, wale mademocrat ndiyo kabisaa asilimia 85.
Njoo kwa viongozi, wengi wao ni majewis.
Ulijua kama Blinken ni myahudi? Basi wapo hadi kwenye nyanja za uchumi wa Marekani.
Uliza sasa hao waundaji wa midege yao, hao Boeing ndiyo wataalamu humo. Wapo kwenye mifumo nyeti ya Marekani.
Hahaha kama unaamini shetani basi amini pia MunguAchana na hadithi za kitaahira zisizo na kichwa wala miguu.
Huyo mungu alishindwa kumuangamiza shetani aje kuiangamiza dunia, kwa uwezo upi alionao?
Achana na hizo ngonjera Mungu hayupo na hajawahi kuwepo.
Wote hawapo. Ni stori tu zisizo na uhakika wowote.Hahaha kama unaamini shetani basi amini pia Mungu