PostGE2025 Video: Rais anasema kanisa lifunguliwe alilifunga kwa sababu gani? Aeleze sababu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Miongoni mwa waumini wa kanisa la Askofu Gwajima, lililofunguliwa hivi karibuni baada ya maelekezo ya Waziri Mkuu na kupewa uangalizi wa miezi sita, amesema kuwa serikali haipaswi kuwanyamazisha wasiseme mambo. Amehoji kuwa: ‘Mnasema Rais amelifungulia kanisa, lakini kwanini alilifunga awali?’ Akisisitiza anataka kufahamu sababu za kufungwa kwa kanisa hilo.
 
Mamamamae, nilijua tu haya makafiri yamemdhamiria mabaya Samia hata afanye nini yatakuja na Shari nyingine tu. Ningekuwa karibu na mama Samia ningemshauri akae kiiiiioomyaaaaaa kabisa asitoe neno Wala kujibu chochote. Haya maadui yake Yana hila sana. Kwani chombo husika kilichotoa amri ya kufungwa hakikusema sababu?!!!!! Mamamamamamamamamae zenu!!
 
Sababu ina mashiko? Kama Askofu alikosea kwanini lifungwe kanisa? Na je, NATURAL JUSTICE anayoililia MSIGWA sasahivi kwa CNN, Je, kanisa lilipatiwa nafasi ya kujitetea kabla?
 
Inatakiwa atoe sababu acha umaku , watu Wana Akili wanahoji kizazi hiki kina watu wenye kujitambua wasio kubali kuburuzwa kama ng'ombe
Mamamamae, nilijua tu haya makafiri yamemdhamiria mabaya Samia hata afanye nini yatakuja na Shari nyingine tu. Ningekuwa karibu na mama Samia ningemshauri akae kiiiiioomyaaaaaa kabisa asitoe neno Wala kujibu chochote. Haya maadui yake Yana hila sana. Kwani chombo husika kilichotoa amri ya kufungwa hakikusema sababu?!!!!! Mamamamamamamamamae zenu!!
 
Miongoni mwa waumini wa kanisa la Askofu Gwajima, lililofunguliwa hivi karibuni baada ya maelekezo ya Waziri Mkuu na kupewa uangalizi wa miezi sita, amesema kuwa serikali haipaswi kuwanyamazisha wasiseme mambo. Amehoji kuwa: ‘Mnasema Rais amelifungulia kanisa, lakini kwanini alilifunga awali?’ Akisisitiza anataka kufahamu sababu za kufungwa kwa kanisa hilo.

Sasa Samuya anaanza kuzipaya toka kwa Wazee wenzake pia.
 
Wanamtafuta Gwajima kwa kivuli cha kufungua kanisa. Gwajima hakamatwi na kushtakiwa bali kutekwa kama polepole😪😪
 
Ndio mana inatakiwa tuwe nchi ya kufuata Sheria la sivyo Kila kiongozi ama mtu akiwa raisi anafanya anavyojisikia tu , akiamua kufunga biashara za bakheresa anazingunga baresa akaongea mawazo yake ama hapendwi na huyo raisi.
 
Mamamamae, nilijua tu haya makafiri yamemdhamiria mabaya Samia hata afanye nini yatakuja na Shari nyingine tu. Ningekuwa karibu na mama Samia ningemshauri akae kiiiiioomyaaaaaa kabisa asitoe neno Wala kujibu chochote. Haya maadui yake Yana hila sana. Kwani chombo husika kilichotoa amri ya kufungwa hakikusema sababu?!!!!! Mamamamamamamamamae zenu!!
Samia ni haini kausika kikamilifu kumuua jpm mkristo sisi tusio waislamu tungekuwa na haki yote kuwashutumu waislamu...maana mpango wote wa kifo cha jpm wote walio uratibu ni waislamu.
 
Mamamamae, nilijua tu haya makafiri yamemdhamiria mabaya Samia hata afanye nini yatakuja na Shari nyingine tu. Ningekuwa karibu na mama Samia ningemshauri akae kiiiiioomyaaaaaa kabisa asitoe neno Wala kujibu chochote. Haya maadui yake Yana hila sana. Kwani chombo husika kilichotoa amri ya kufungwa hakikusema sababu?!!!!! Mamamamamamamamamae zenu!!
Haisaidii kutukana. Jibuni hoja basi tajiri.
 
Sababu ina mashiko? Kama Askofu alikosea kwanini lifungwe kanisa? Na je, NATURAL JUSTICE anayoililia MSIGWA sasahivi kwa CNN, Je, kanisa lilipatiwa nafasi ya kujitetea kabla?
Hao vijambio wa kiislamu awawezi kuelewa
 
Mamamamae, nilijua tu haya makafiri yamemdhamiria mabaya Samia hata afanye nini yatakuja na Shari nyingine tu. Ningekuwa karibu na mama Samia ningemshauri akae kiiiiioomyaaaaaa kabisa asitoe neno Wala kujibu chochote. Haya maadui yake Yana hila sana. Kwani chombo husika kilichotoa amri ya kufungwa hakikusema sababu?!!!!! Mamamamamamamamamae zenu!!
Too late. Unajua maana ya too late? Kama hujui tafuta dictionary
 
Miongoni mwa waumini wa kanisa la Askofu Gwajima, lililofunguliwa hivi karibuni baada ya maelekezo ya Waziri Mkuu na kupewa uangalizi wa miezi sita, amesema kuwa serikali haipaswi kuwanyamazisha wasiseme mambo. Amehoji kuwa: ‘Mnasema Rais amelifungulia kanisa, lakini kwanini alilifunga awali?’ Akisisitiza anataka kufahamu sababu za kufungwa kwa kanisa hilo.
Watu wameamka
 
Back
Top Bottom