Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
-
- #21
Ninyi endeleeni kupigana ngumi na mateke tu kama mlivyo mpiga mangumi yule Dada wa BAWACHAUngejalibu kwenda kuleta fujo hata kwenye mkutano wa Chadema ili wakupige uonekane,labda watakupa cheo
Africa ipi ?Afrika nzima imesimama na Tanzania kumuunga mkono Mgombea wake. Afrika imeiskia Sauti ya Mama na imekubali kuipa ushindi wa kishindo na heshima Tanzania
Inabidi hata siku Moja kwenye hotuba zake akutaje kidogo katika kutambua mchango wakoMimi ni mkulima na Mama yetu Mpendwa amekuwa akitujali na kututhamini wakulima kwa kutupatia mbolea za Ruzuku.
Tanzania ndio habari ya Afrika kwa sasa baada ya Mama kuzungumza na wa Afrika. Kila mtu sasa anasema tunakwenda na Profesa Mohammedi Janabi kama mkurugenzi mpya ya WHO kanda ya AfrikaAmembebea maboksi ya kura fake?
Naona mzee wa kububujikwa na machoziNdugu zangu Watanzania,
Nashindwa niandike nini ,nashindwa niseme nini ,nashindwa nieleze vipi juu ya uwezo mkubwa wa kiakili alionao na aliojaliwa kuwa nao Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Rais Samia ni Mpango wa Mungu,ni chaguo la Mungu na kapewa akili nyingi na maarifa Makubwa na Mungu Mwenyewe.
Sasa kumekucha ,sasa kumepambazuka, sasa mambo yameiva, sasa ushindi upo Mikononi Mwetu, sasa ni suala la muda tu kwa profesa Mohammedi Janabi kutangazwa kuwa mkurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika , sasa bendera ya Tanzania ipo kileleni ikipepea katika mioyo ya wa Afrika na ma RAIS wa Afrika.
Sasa Tanzania ndio habari ya Mjini ,sasa Tanzania ndio inayoendelea kugonga na kuteka vichwa vya habari na habari mitandaoni.
Hii ni baada ya Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kuingia katika uwanja wa vita, kusogeza vifaa vya kivita katika uwanja wa mapambano, kuja mstari wa mbele katika uwanja wa mapambano katika kumuombea kura Professor Mohammedi Janabi anayewania ukurugenzi wa WHO kanda ya Afrika.
Jemedari mzuri ni yule anayejua ni wakati gani wa kwenda na kupeleka jeshi vitani ,ni wakati gani wa kurusha Makombora kwa adui na yatue wapi. Jemedari mzuri ni yule anayeshinda vita kabla ya kuingia vitani. Tayari Tanzania tumeshashinda vita hii chini ya uongozi Thabiti, madhubuti,imara na hodari wa Rais wetu Mpendwa Daktari Mama Samia.
Rais Samia ni jasusi,ni komandoo hodari, ni askari mwenye shabaha
.hajawahi kushindwa katika vita ya aina yoyote ile huyu Mama yetu Mpendwa. Akimpa mtu baraka ni lazima ashinde tu huyo mtu. Akiweka mkono wake mahali ni lazima baraka na Neema zitiririke,. Akitia neno mahali ni lazima matunda na matokeo chanya yapatikane.
Mama kwa upole ,unyenyekevu,utulivu, kwa hoja nzito na ujasiri wa hali ya juu kabisa kuwahi Kushuhudiwa amejitokeza mbele ya Bara la Afrika na macho ya Dunia nzima kumuombea kura profesa janabi. Ambapo kwa kiingereza safi na Kilichonyooka kama rula ameelezea uzoefu mkubwa alionao Prof janabi na mchango wake mkubwa katika secta ya Afya .na kuwa huyu ni mtu sahihi kabisa katika kuleta matokeo Chanya katika secta ya Afya Barani Afrika.
Kuna faida kubwa sana kwa Taifa kuongozwa na Rais mwenye ushawishi kwa watu wa Mataifa mbalimbali kama ilivyo kwa Rais Samia.kuna raha ya kuwa na kiongozi aina ya Rais Samia mwenye uwezo wa kujieleza na kujenga hoja zenye kugusa watu,mwenye akili kubwa na upeo wa juu.
Watanzania tuna kila sababu kuandaa akili kubwa na viongozi wenye ushawishi kama tulivyo bahatika kumpata Rais Samia. Viongozi ambao wakisimama kuzungumzia hadharani. Watu wote na Bara lote na vyombo vyote vya habari vinasimama kwa utulivu kumsikiliza. Ni neema kwa Taifa letu kuwa na RAIS Samia katika kiti cha Urais.View attachment 3296160
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Chungulia vyombo vyote vya kimataifa na mitandao ya kijamii uone namna Afrika ilivyoamua kuitikia wito wa Mama na kusimama na Tanzania na watanzania kuhakikisha mtanzania anashinda Ukurugenzi wa WHOAfrica ipi ?
Labda Africa bar ya Mbozi wewe kunguni.
Mfano wa chombo!Chungulia vyombo vyote vya kimataifa na mitandao ya kijamii uone namna Afrika ilivyoamua kuitikia wito wa Mama na kusimama na Tanzania na watanzania kuhakikisha mtanzania anashinda Ukurugenzi wa WHO
Karibu sana MkuuNaona mzee wa kububujikwa na machozi
Mfano wa chombo!
Wewe ingia vyombo vya kimataifa uone namna Rais Samia alivyoteka kila kitu na kuwa habari ya DuniaMfano wa chombo!
Hawa ambao wamesema Ebola inanunuliwa sijui kama watampaNdugu zangu Watanzania,
Nashindwa niandike nini ,nashindwa niseme nini ,nashindwa nieleze vipi juu ya uwezo mkubwa wa kiakili alionao na aliojaliwa kuwa nao Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Rais Samia ni Mpango wa Mungu,ni chaguo la Mungu na kapewa akili nyingi na maarifa Makubwa na Mungu Mwenyewe.
Sasa kumekucha ,sasa kumepambazuka, sasa mambo yameiva, sasa ushindi upo Mikononi Mwetu, sasa ni suala la muda tu kwa profesa Mohammedi Janabi kutangazwa kuwa mkurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika , sasa bendera ya Tanzania ipo kileleni ikipepea katika mioyo ya wa Afrika na ma RAIS wa Afrika.
Sasa Tanzania ndio habari ya Mjini ,sasa Tanzania ndio inayoendelea kugonga na kuteka vichwa vya habari na habari mitandaoni.
Hii ni baada ya Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kuingia katika uwanja wa vita, kusogeza vifaa vya kivita katika uwanja wa mapambano, kuja mstari wa mbele katika uwanja wa mapambano katika kumuombea kura Professor Mohammedi Janabi anayewania ukurugenzi wa WHO kanda ya Afrika.
Jemedari mzuri ni yule anayejua ni wakati gani wa kwenda na kupeleka jeshi vitani ,ni wakati gani wa kurusha Makombora kwa adui na yatue wapi. Jemedari mzuri ni yule anayeshinda vita kabla ya kuingia vitani. Tayari Tanzania tumeshashinda vita hii chini ya uongozi Thabiti, madhubuti,imara na hodari wa Rais wetu Mpendwa Daktari Mama Samia.
Rais Samia ni jasusi,ni komandoo hodari, ni askari mwenye shabaha
.hajawahi kushindwa katika vita ya aina yoyote ile huyu Mama yetu Mpendwa. Akimpa mtu baraka ni lazima ashinde tu huyo mtu. Akiweka mkono wake mahali ni lazima baraka na Neema zitiririke,. Akitia neno mahali ni lazima matunda na matokeo chanya yapatikane.
Mama kwa upole ,unyenyekevu,utulivu, kwa hoja nzito na ujasiri wa hali ya juu kabisa kuwahi Kushuhudiwa amejitokeza mbele ya Bara la Afrika na macho ya Dunia nzima kumuombea kura profesa janabi. Ambapo kwa kiingereza safi na Kilichonyooka kama rula ameelezea uzoefu mkubwa alionao Prof janabi na mchango wake mkubwa katika secta ya Afya .na kuwa huyu ni mtu sahihi kabisa katika kuleta matokeo Chanya katika secta ya Afya Barani Afrika.
Kuna faida kubwa sana kwa Taifa kuongozwa na Rais mwenye ushawishi kwa watu wa Mataifa mbalimbali kama ilivyo kwa Rais Samia.kuna raha ya kuwa na kiongozi aina ya Rais Samia mwenye uwezo wa kujieleza na kujenga hoja zenye kugusa watu,mwenye akili kubwa na upeo wa juu.
Watanzania tuna kila sababu kuandaa akili kubwa na viongozi wenye ushawishi kama tulivyo bahatika kumpata Rais Samia. Viongozi ambao wakisimama kuzungumzia hadharani. Watu wote na Bara lote na vyombo vyote vya habari vinasimama kwa utulivu kumsikiliza. Ni neema kwa Taifa letu kuwa na RAIS Samia katika kiti cha Urais.View attachment 3296160
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
PumbafuWewe ingia vyombo vya kimataifa uone namna Rais Samia alivyoteka kila kitu na kuwa habari ya Dunia
Usitufananishe Tanzania na Kenya. Tanzania tupo mbele sana katika suala la ushawishi katika anga la kimataifa. Mama alimuwekea mkono wa baraka Dkt Tulia mpaka akashinda. Akaja kwa Dkt Ndugulile akashinda kwa kishindo kikuu,kuna mwingine pia ameshinda majuzi juzi tu hapa kwenye masuala ya fedha na mwingine afya kwa kishindo kikuuAmuulize Ruto na Odinga kwa AU ππππππ
Vidampa huwa hawatajwi kokote CCM ina wenyewe huyu kidampa atajwe na nani maana ni kama vuvuzela tu .Inabidi hata siku Moja kwenye hotuba zake akutaje kidogo katika kutambua mchango wako
Matusi ni dalili ya kuchoka kiakili.Pumbafu
Umesamehewa makosa na Dhambi zako zote. Nenda na amani ya BwanaVidampa huwa hawatajwi kokote CCM ina wenyewe huyu kidampa atajwe na nani maana ni kama vuvuzela tu .
Uko WHO hakuna habari za mama , dada, baba ,shangazi huo wito labda unaishia kizimkazi nyumbani kwa Samia na wanae.Chungulia vyombo vyote vya kimataifa na mitandao ya kijamii uone namna Afrika ilivyoamua kuitikia wito wa Mama na kusimama na Tanzania na watanzania kuhakikisha mtanzania anashinda Ukurugenzi wa WHO
Watakuwa hawamtendei haki kabisaVidampa huwa hawatajwi kokote CCM ina wenyewe huyu kidampa atajwe na nani maana ni kama vuvuzela tu .
Jiandae kuupokea ushindi wa kishindo wa Profesa Mohammedi Janabi. Tanzania huwa hatushindwi katika mambo yetu.Uko WHO hakuna habari za mama , dada, baba ,shangazi huo wito labda unaishia kizimkazi nyumbani kwa Samia na wanae.