VIDEO: Rais Samia amuombea kura za Ukurugenzi wa WHO Mohammedi Janabi

Tanzania ndio habari ya Afrika kwa sasa baada ya Mama kuzungumza na wa Afrika. Kila mtu sasa anasema tunakwenda na Profesa Mohammedi Janabi kama mkurugenzi mpya ya WHO kanda ya Afrika
Upo sahihi kabisa japo linaweza kuwa ni kosa la kiufundi.

Ikitokea Prof Janabi kapigwa chini unaijua impact yake Kwa kiongozi wa nchi katika mwaka huu wa uchaguzi?

Najua hukosagi majibu hata kwenye hoja zinazokuzidi uwezo. Endelea kujibu
 
Huko uchaguzi hausimamiwi na wakurugenzi wateule wa mwenyekiti wa CCM.

Lanes, lanes , lanes.
Kwani Aliposhinda Mheshimiwa Tulia na marehemu Ndugulile uchaguzi ulisimamiwa na nani?au ulikuwa bado upo na umbumbumbu wako kichwani?
 
Upo sahihi kabisa japo linaweza kuwa ni kosa la kiufundi.

Ikitokea Prof Janabi kapigwa chini unaijua impact yake Kwa kiongozi wa nchi katika mwaka huu wa uchaguzi?

Najua hukosagi majibu hata kwenye hoja zinazokuzidi uwezo. Endelea kujibu
Gentleman,
Jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza totoro,

mchakato wa kumpata atakae chukua kandarasi ya WHO kanda ya Africa, ni lazima awe endorsed na mkuu wa nchi yake.

na unafahamu kuna wagombeaji wangapi wa nafasi hiyo na kutoka nchi ngap?

Na kama kungekua na impact kama ambavyo unadhani, ni Rais gani angethubutu au kuhangaika na kitu ambacho kina madhara kwake na kwa nchi yake?🐒
 
Upo sahihi kabisa japo linaweza kuwa ni kosa la kiufundi.

Ikitokea Prof Janabi kapigwa chini unaijua impact yake Kwa kiongozi wa nchi katika mwaka huu wa uchaguzi?

Najua hukosagi majibu hata kwenye hoja zinazokuzidi uwezo. Endelea kujibu
Rais Samia ni Mshindi tokea kuumbwa kwake. Huwa hashindwi . Akiweka mkono wake na kutoa neno ni lazima ushindi upatikane kwa kishindoo mpaka sasa Tanzania na watanzania ni washindi katika kinyang'anyiro cha ukurugenzi mkuu wa WHO kanda ya Afrika
 
Usiteseke kuelimisha nyumbu.
 
Bwana Lucas ni MUSIBA WA awamu ya samia😀
 
Hii mimi napita.... hakuna ajuwahe kesho
 
Marehemu Ndungulile tulistuka tu tayari ameshapata hicho cheo cha WHO...Huyu mbona kelele nyingi sana...kuongozwa na waswahili bhana
 
Marehemu Ndungulile tulistuka tu tayari ameshapata hicho cheo cha WHO...Huyu mbona kelele nyingi sana...kuongozwa na waswahili bhana
Wewe ndiye ukishituka .lakini Afrika na waafrika walijipanga na kuhamasishana kama ilivyo sasa kuipatia ushindi Tanzania
 
Huko hawaangalii dini wanaangalia uwezo na CV.
 
Hii mimi napita.... hakuna ajuwahe kesho
Ushindi utarejea nyumbani kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima. Tanzania hatujawahi kushindwa katika mambo haya ya kimataifa. . Tanzania ni watu wa mikakati na wenye sauti na ushawishi mkubwa sana Barani Afrika .Heshima ya Tanzania kimataifa ni ya kihistoria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…