VIDEO: Rais Samia amuombea kura za Ukurugenzi wa WHO Mohammedi Janabi

Uwezo na CV ya Profesa Mohammedi Janabi ni kubwa na iliyo sheheni uzoefu Mkubwa sana kuliko mgombea yeyote yule aliyepitishwa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mwambie yule ni mkurugenzi au afisa habari ? Ana CV ya kawaida sana. Hauwezi kujilinganisha na washindani wenzake.
 
Tafadhali baada ya matokeo uje Hapa utupe mrejesho ilikuwaje mkashindwa na mama yenu ali shiriki kumnadi daktari wenu!!
 
Mzimu wa JPM utamuacha salama?
 
Tafadhali baada ya matokeo uje Hapa utupe mrejesho ilikuwaje mkashindwa na mama yenu ali shiriki kumnadi daktari wenu!!
Matokeo yatakuwa live Dunia nzima huku bendera ya Tanzania ikipepea kwa ushindi katika barozi zote Duniani
 
Samia alishindwa nini kufanya hivyo kwa Dr. Faustine Ndugulile?
Kama Dr. Ndugulile alifanya harakati zake kimya kimya bila kupigiwa chapeo za kisiasa na mwisho alishinda, vipi imekuwa tofauti kwa huyu Professor Janabi?
Tutasema nini ikiwa Professor Janabi atashindwa?
 
Naona umeanza kuweweseka kama Mgonjwa. Hii ni baada ya kuona ushindi wa kishindo ukija mbele yetu watanzania
 
Labda ashinde njaa au ashindie kipande cha mhogo na maji kama ilivyo lishe yake.

#NO REFORM NO ELECTION.
 
Let's wait.
But he's anastahili hiyo kazi, au mje mfanye tena ya kufanya ya yule
 
Labda ashinde njaa au ashindie kipande cha mhogo na maji kama ilivyo lishe yake.

#NO REFORM NO ELECTION.
Atashinda tena kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima. Mpaka sasa ushindi upo Mikononi Mwetu na Afrika ipo upande wetu.
 
Mtu mwenyewe anayeombewa kura ni mgonjwa yatakuwa kama ya Ndungurile kabla ya kuapishwa anasepa.
 
KWANI HUNA KAZI ZA KUFANYA?
 
Wakati wewe na Wenzio mna ngojea matokeo, wenzenu wamekwisha jua mshindi!! Mtu wenu hajatoboa.
Mshindi ni Tanzania na Tanzania ndio chaguo la Afrika na Afrika imesimama pamoja na Tanzania kuuleta ushindi Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…