VIDEO: Rais Samia amuombea kura za Ukurugenzi wa WHO Mohammedi Janabi

na ww umeandika upuuz mbona Ndugulile alishinda?
 
huyu ndo Lucas nayemjua mzee wa kububujikwa na machoz ya furaha ila for the sake of country let Janabi win for this position
 
Hiyo post ya Rais siyo ya kumuombea kura.Tuwekee yenye maneno ya kumuombea kura.
 
Kwani Aliposhinda Mheshimiwa Tulia na marehemu Ndugulile uchaguzi ulisimamiwa na nani?au ulikuwa bado upo na umbumbumbu wako kichwani?
Hivi unajielewa kweli wewe ?

Post ya Tulia na hii ya WHO ni vitu sawa???

Yaani unalinganisha post ya kisiasa na kitaaluma?
 
Hivi unajielewa kweli wewe ?

Post ya Tulia na hii ya WHO ni vitu sawa???

Yaani unalinganisha post ya kisiasa na kitaaluma?
Sasa hii twasema kipele kimepata mkunaji. Tanzania ni lazima tushinde
 
SSH kaonesha udhaifu kinyama👿
Nb:sijasoma uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…