VIDEO: Rais Samia amuombea kura za Ukurugenzi wa WHO Mohammedi Janabi

Haya mambo ni makubwa sana na yapo juu ya uwezo wako wa kufikiri na kuelewa. Wewe endelea kupambana na CHADEMA yako ambayo inaendelea kupasuka vipande vipande na kusambaratika kama mtama huku ikiserereka kuelekea shimoni bila Breki..
Kweli Samia ana uwezo wa akili kuzidi Marehemu Mama yako...
 
Hajawahi kushindwa kwani aligombea lini na wapi?.Uchaguzi ulopita tulimchagua mwendazake.
 
Sehemu kubwa ya maandishi yako yametuama ktk kumsifia raisi samia kama vile yeye ndie mgombea. Nilitegemea utumie nguvu kubwa kumpamba JANABI ili sisi tujue ubora wake. Zaidi naona andishi lako limelenga kujipendekeza tu.
 
Hatiaye amepata
 
Samia hajawahi shindwa kwenye popote linapokuja Suala la ushawishi wa kidiplomasia 🔥🔥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…