Video: Rapper Tupac alikuwa amepandwa na pepo wakati yupo studio ana rekodi wimbo "Hit Em Up"

Ni watu wengi sana duniani huishi au kuwa maarufu kutokana na majina ya watu maarufu. Tupac na Michael jackson hayo majina ni pesa. Ukiongea, andika lolote kuhusu hao watu unapiga pesa.
Nadhani ukishindwa kulisimamisha jina lako upige pesa tumia majina ya watu wengine japo utapiga pesa kwa mda tu.
Sasa hivi kuna watu wanapiga pesa kupitia majina haya;
Mesi, Ronaldo, Putin, Traole,Lamine Yamal, Trump nk.
Msimshangae huyo jamaa nae anatafuta umaarufu na pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…