Hela vipi wakati kitabu kakitoa bora kwenye mfumo wa videos watu watazame bure kabisaSio kwamba anatafuta pesa kupitia huo wimbo?
FactThat's not right mkuu. We are a home of great thinkers
Sio poaUkitazama video za jamaa anavyo elezea lazima utakubaliana nae kwa asilimia Mia Moja kwamba Tupac alikuwa possessed in the Hit Em Up.
Hatari sanaInasikitisha kuona marehemu anajadiliwa. Laiti 2pac angekuwa ndugu wa huyo aliyefanya hiyo research sidhani hata research yenyewe angeifanya.
Sorry let me leave.That's not right mkuu. We are a home of great thinkers
SitakiTema mate chini mkuu
Sio powa na nusu kuna watu wana vipaji vya kutazamaSio poa
🤣🤣🤣🤣🤣Sitaki
Bangi ni mmea wa ajabu sana na huwa unaweza kukutuliza kihisia au kukutibua kihisia. Ni mmea unaoburudisha pia.Bangi Zilifanya kazi na hasira na mzuka ukampanda
Hata mwenyewe nimeshangaaUzi ni mzuri ila unataka kuuharibu kutokana na baadhi ya watu uliowatag
Watu waliandaa mistari na beat mnasema walipandwa pepo!!?Jamaa anajua Sana aisee mwisho wa siku lazima ukubaliane nae