Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,791
- 23,561
Drop the glass when you see Tupac
Call the cops when you see Tupac
Call the cops when you see Tupac
Grab the glock when you see TupacDrop the glass when you see Tupac
Call the cops when you see Tupac
Pepo huyo ndie aliekuwa anaongea kwenye wimbo " Hit Em Up" Kupitia midomo na sauti ya Tupac.
Haya si maneno yangu bali nimeyakuta huko TikTok.
Mtoa hoja hii anasema yeye ni mtaalamu wa Sayansi na Sanaa ya Lugha za kiroho.
Vile vile ni mtaalamu wa Sayansi na Sanaa ya kusoma Sauti za ndani za watu, vitu, wanyama, viumbe wa kiroho na matukio mbalimbali.
Anasema ameya study maisha na muziki wa Tupac Shakur na Notorious BIG kwa much wa miaka 20 na ame u study wimbo " Hit Em Up" Kwa miaka 20 na kupitia taaluma yake ya " Sayansi na Sanaa ya Lugha za Kiroho " Pamoja na " Sayansi na Sanaa ya Kusoma Sauti za Ndani" amegundua kwamba, mwaka 96 wakati Tupac yupo busy studio ana rekodi wimbo " Hit Em Up", Tupac alikuwa amepandwa na pepo na kwamba pepo huyo ndie alie kuwa akiongea kwenye wimbo " Hit Em Up" Kupitia Sauti ya Tupac.
Anasema kupitia taaluma yake ya Sanaa na Sayansi ya Lugha za kiroho, pamoja na Sanaa na Sayansi ya Sauti za Ndani, amethibitisha pasi na Shaka yoyote ile ( Proving beyond any reasonable doubt) kwamba wakati Tupac Shakur anarekodi wimbo " Hit Em Up" alikuwa amepandwa na pepo na kwamba ukiyaondoa maneno 25 pekee, maneno yote kutoka kwenye kinywa na sauti ya Tupac Ndani ta wimbo Hit Em Up, ni maneno ya pepo huyo kupitia kinywa na midomo ya Tupac.
Vile vile anasema anatoa tafsiri ya kina la kila neno kutoka kwenye kinywa na sauti ya Tupac Shakur Ndani ya wimbo Hit Em Up.
Na katika kuonyesha kwamba anajiamini kwenye hoja yake anaachia kitabu ambacho kitakuwa katika mfumo wa video ambazo atazipost kupitia You Tube Channel yake.
Kule Tik tok amesema hizo video za kitabu chake ambacho amekipa jina " Spiritual Aspect of the Song Hit Em Up" Ataanza kuziachia rasmi tatehe 16 June 2025 ambayo tarehe 16 June ni birthday ya Tupac.
To what extent do u agree with him?
Nieambatanisha na video 👇👇👇
View: https://youtube.com/watch?v=iElmWms5ICs&si=ZzNZOeUlzVAeULlA
Ziko nyimbo au ala za mziki Fulani Fulani zikipigwa na ukiwa "high" na "concentration" ikiwa ya juu unaweza kuhisi kama Kuna Hali si ya kawaida chumbani aidha Kuna mtu au watu wamekuzunguka au watu wanatembea sometimes hata kubadilika Kwa Hali ya hewa ghafla tu nk. Mziki au kinachohusiana nacho huwa kinagusa sana ndani na hufunua vitu sometimes visivyopaswa kufunuliwa.Yes you are right lakini ukitazama video za huyu mwamba lazima ukubaliane nae kwa asilimia nyingi Sana. Hoja zake zinambeba Sana
Naujua. Nakumbuka brother wangu alikuwa anauplay na ku stop ili aandike lyrics. 🤣🤣🤣Usiniambie na wewe ni muhenga kama mimi. Unaujua mpaka huu wimbo?
Mnafurahia kuwa wahenga wakati mnazidi kukisogelea kifo Kwa Karibu?Usiniambie na wewe ni muhenga kama mimi. Unaujua mpaka huu wimbo?
Tufukulie hizo za nyumaNimewahi kuandika kuhusu huyu mwamba hapa wakati huo alikuwa ana post video zake kwa kiingereza tu sikuwahi kujua kama anajua kiswahili.
Kama amenza kuachia tena videos nitakuwa nazileta humu Jf kuzifafanua nilivyo Elena.
Ila kiukweli hoja zake zinafikirisha Sana amewafanya maelfu ya watu kuamini kweli kwenye Hit Em Up Yule hakuwa Tupac bali pepo akiongea kupitia sauti ya Tupac.
Binafsi kupitia video za huyu jamaa ni naamini kwa asilimia zote tena pasi na Shaka yoyote ile kwamba kwembe wimbo Hit Em Up Tupac alikuwa possessed na spirit ambae ndio alikuwa anaongea.
Ukitazama video za huyu jamaa lazima utaamini kwamba kwenye Hit Em Up Tupac alikuwa possessed
Pepo huyo ndie aliekuwa anaongea kwenye wimbo " Hit Em Up" Kupitia midomo na sauti ya Tupac.
Haya si maneno yangu bali nimeyakuta huko TikTok.
Mtoa hoja hii anasema yeye ni mtaalamu wa Sayansi na Sanaa ya Lugha za kiroho.
Vile vile ni mtaalamu wa Sayansi na Sanaa ya kusoma Sauti za ndani za watu, vitu, wanyama, viumbe wa kiroho na matukio mbalimbali.
Anasema ameya study maisha na muziki wa Tupac Shakur na Notorious BIG kwa much wa miaka 20 na ame u study wimbo " Hit Em Up" Kwa miaka 20 na kupitia taaluma yake ya " Sayansi na Sanaa ya Lugha za Kiroho " Pamoja na " Sayansi na Sanaa ya Kusoma Sauti za Ndani" amegundua kwamba, mwaka 96 wakati Tupac yupo busy studio ana rekodi wimbo " Hit Em Up", Tupac alikuwa amepandwa na pepo na kwamba pepo huyo ndie alie kuwa akiongea kwenye wimbo " Hit Em Up" Kupitia Sauti ya Tupac.
Anasema kupitia taaluma yake ya Sanaa na Sayansi ya Lugha za kiroho, pamoja na Sanaa na Sayansi ya Sauti za Ndani, amethibitisha pasi na Shaka yoyote ile ( Proving beyond any reasonable doubt) kwamba wakati Tupac Shakur anarekodi wimbo " Hit Em Up" alikuwa amepandwa na pepo na kwamba ukiyaondoa maneno 25 pekee, maneno yote kutoka kwenye kinywa na sauti ya Tupac Ndani ta wimbo Hit Em Up, ni maneno ya pepo huyo kupitia kinywa na midomo ya Tupac.
Vile vile anasema anatoa tafsiri ya kina la kila neno kutoka kwenye kinywa na sauti ya Tupac Shakur Ndani ya wimbo Hit Em Up.
Na katika kuonyesha kwamba anajiamini kwenye hoja yake anaachia kitabu ambacho kitakuwa katika mfumo wa video ambazo atazipost kupitia You Tube Channel yake.
Kule Tik tok amesema hizo video za kitabu chake ambacho amekipa jina " Spiritual Aspect of the Song Hit Em Up" Ataanza kuziachia rasmi tatehe 16 June 2025 ambayo tarehe 16 June ni birthday ya Tupac.
To what extent do u agree with him?
Nieambatanisha na video 👇👇👇
View: https://youtube.com/watch?v=iElmWms5ICs&si=ZzNZOeUlzVAeULlA
Pepo huyo ndie aliekuwa anaongea kwenye wimbo " Hit Em Up" Kupitia midomo na sauti ya Tupac.
Haya si maneno yangu bali nimeyakuta huko TikTok.
Mtoa hoja hii anasema yeye ni mtaalamu wa Sayansi na Sanaa ya Lugha za kiroho.
Vile vile ni mtaalamu wa Sayansi na Sanaa ya kusoma Sauti za ndani za watu, vitu, wanyama, viumbe wa kiroho na matukio mbalimbali.
Anasema ameya study maisha na muziki wa Tupac Shakur na Notorious BIG kwa much wa miaka 20 na ame u study wimbo " Hit Em Up" Kwa miaka 20 na kupitia taaluma yake ya " Sayansi na Sanaa ya Lugha za Kiroho " Pamoja na " Sayansi na Sanaa ya Kusoma Sauti za Ndani" amegundua kwamba, mwaka 96 wakati Tupac yupo busy studio ana rekodi wimbo " Hit Em Up", Tupac alikuwa amepandwa na pepo na kwamba pepo huyo ndie alie kuwa akiongea kwenye wimbo " Hit Em Up" Kupitia Sauti ya Tupac.
Anasema kupitia taaluma yake ya Sanaa na Sayansi ya Lugha za kiroho, pamoja na Sanaa na Sayansi ya Sauti za Ndani, amethibitisha pasi na Shaka yoyote ile ( Proving beyond any reasonable doubt) kwamba wakati Tupac Shakur anarekodi wimbo " Hit Em Up" alikuwa amepandwa na pepo na kwamba ukiyaondoa maneno 25 pekee, maneno yote kutoka kwenye kinywa na sauti ya Tupac Ndani ta wimbo Hit Em Up, ni maneno ya pepo huyo kupitia kinywa na midomo ya Tupac.
Vile vile anasema anatoa tafsiri ya kina la kila neno kutoka kwenye kinywa na sauti ya Tupac Shakur Ndani ya wimbo Hit Em Up.
Na katika kuonyesha kwamba anajiamini kwenye hoja yake anaachia kitabu ambacho kitakuwa katika mfumo wa video ambazo atazipost kupitia You Tube Channel yake.
Kule Tik tok amesema hizo video za kitabu chake ambacho amekipa jina " Spiritual Aspect of the Song Hit Em Up" Ataanza kuziachia rasmi tatehe 16 June 2025 ambayo tarehe 16 June ni birthday ya Tupac.
To what extent do u agree with him?
Nieambatanisha na video 👇👇👇
View: https://youtube.com/watch?v=iElmWms5ICs&si=ZzNZOeUlzVAeULlA
Sio kipaji tu mkuuAisee, Mimi naona kuwa mtu akiwa na kipaji Fulani halafu akatumia kipaji chake Kwa kiwango cha juu sana lazima aonekane Kwa namna tofauti na watu.
Naunga mkono hoja.Bangi Zilifanya kazi na hasira na mzuka ukampanda
Kabisa alikua msuba na kichwa kikajjbuNaunga mkono hoja.
Kwani huko studio alikuwa anaombewa mpaka mapepo yapande? kwa experience yangu mapepo yanapanda mtu akiombewa.
Shida ya binadamu wanatafuta kasoro kwenye kila kitu hata kama ni kizuri. 2pac ana kipaji cha aina yake mwacheni hata mkiprove alipandwa na mapepo studio hamtafaidika na chochote nyimbo yenyewe imetoka miaka 20 iliyopita.Kabisa alikua msuba na kichwa kikajjbu
Na mwenyewe kasha lalaShida ya binadamu wanatafuta kasoro kwenye kila kitu hata kama ni kizuri. 2pac ana kipaji cha aina yake mwacheni hata mkiprove alipandwa na mapepo studio hamtafaidika na chochote nyimbo yenyewe imetoka miaka 20 iliyopita.