Deinstein 01
JF-Expert Member
- May 12, 2024
- 2,090
- 3,928
Inasikitisha kuona marehemu anajadiliwa. Laiti 2pac angekuwa ndugu wa huyo aliyefanya hiyo research sidhani hata research yenyewe angeifanya.Na mwenyewe kasha lala
Inasikitisha kuona marehemu anajadiliwa. Laiti 2pac angekuwa ndugu wa huyo aliyefanya hiyo research sidhani hata research yenyewe angeifanya.Na mwenyewe kasha lala
Ngoja nizitafute mkuu. Very convincing yani.Tufukulie hizo za nyuma
Tufukulie hizo za nyuma
Eid I Mean, member wa Outlaw ambao walishirikishwa kwenye wimbo " Hit Em Up" anasema anaamini Siku hiyo Tupac studio hakuwa peke yake. Kuna vitu vilitokea studio ambavyo hata ma injinia siku hiyo walishangazwa. Yeye pia ana amini kulikuwa na spiritual beings studio wakiwa wanarekodi, na hao spiritual beings wana husika Moja kwa Moja na energy plus verse za Tupac kwenye Hit Em Up.Shida ya binadamu wanatafuta kasoro kwenye kila kitu hata kama ni kizuri. 2pac ana kipaji cha aina yake mwacheni hata mkiprove alipandwa na mapepo studio hamtafaidika na chochote nyimbo yenyewe imetoka miaka 20 iliyopita.
Tupac mwenyewe angefurahi kwa sababu research inamsafisha yeye kwamba hakuwa yeye anatukana watu kwenye wimbo Hit Em Up including wagonjwa wa sickle cell.Inasikitisha kuona marehemu anajadiliwa. Laiti 2pac angekuwa ndugu wa huyo aliyefanya hiyo research sidhani hata research yenyewe angeifanya.
Naheshimu mawazo yako ila mimi siamini hiyo kitu. Na ukizingatia 2pac nilikuwa namkubali sana hata kama ni kweli alikuwa possessed haitabadilisha chochote ,legend atabaki kuwa legend.Eid I Mean, member wa Outlaw ambao walishirikishwa kwenye wimbo " Hit Em Up" anasema anaamini Siku hiyo Tupac studio hakuwa peke yake. Kuna vitu vilitokea studio ambavyo hata ma injinia siku hiyo walishangazwa. Yeye pia ana amini kulikuwa na spiritual beings studio wakiwa wanarekodi, na hao spiritual beings wana husika Moja kwa Moja na energy plus verse za Tupac kwenye Hit Em Up.
Yes you are correctly. Tupac was not a gangster or a thug. He was an actor.Nyombo nzima 2Pac alijutia kwenye outro tu, tena sehemu ndogo sana alipohusisha afya binafsi ya mtu kwa kusema wazi ishu ya ugonjwa wa Sikoseli hapo tu na yeye mwenyewe alikubali kuwa alizingua.
Ila watu wengi wanafikiri 2Pac ni real gangster kumbe hamna hakuwahi kiwa real gangster yeye ni msanii tu. Na kuna interviews na lecture alizowahi kutoa kwenye vyuo, aliwaambia vijana jela ni sehemu inayopoteza ndoto na muda wa mtu, sio sehemu ya kujivunia wala kutamani kwenda.
Kitu kilichomsaidia 2Pac kwenyesanaa ni kuwa yeye alikuwa na elimu ya sanaa maana alipelekwa shule za sanaa na mama yaketangu mdogo, tofauti na wasanii wengine wengi waliojikuta kwenye mziki wakitokea mtaani.
Mimi pia namkubali mkuu. Hoja kwamba alikuwa possessed kwenye Hit Em Up hazimchafui Bali zina msafisha.Naheshimu mawazo yako ila mimi siamini hiyo kitu. Na ukizingatia 2pac nilikuwa namkubali sana hata kama ni kweli alikuwa possessed haitabadilisha chochote ,legend atabaki kuwa legend.
Ukitazama video za jamaa anavyo elezea lazima utakubaliana nae kwa asilimia Mia Moja kwamba Tupac alikuwa possessed in the Hit Em Up.Bangi Zilifanya kazi na hasira na mzuka ukampanda
Napata wapi hizo videos mkuuMimi pia namkubali mkuu. Hoja kwamba alikuwa possessed kwenye Hit Em Up hazimchafui Bali zina msafisha.
Yeye mwenyewe kwenye nyimbo zake nyingi amemzungumzia kuhusu spiritual possession.
Yeye mwenyewe few weeks after Hit Em Up came out aligundua kwamba alikuwa possessed kwenye wimbo Hit Em up and he went to the public lakini kabla hajafafanua vizuri wakamuua.
Duh mbona hujaeleweka mkuuHao pepo wanachagua mahali pa kupanda, watu mpaka tunabuluza miswaki ya hisabati walikua wapi kupanda vichwani mwetu watufanyie pepa?? Physics pepa lilikauka kinoma ila holaa sio pepo wala popo waliofika kuninasua
Pepo hawapo duniani, huyo jamaa yenu kawaingiza chaka bovuDuh mbona hujaeleweka mkuu
Upo sahihi but ukitazama video za huyu jamaa huwezi kupingana nae hata kidogo. Ame elezea vizuri sana kwamba Tupac Shakur was actively possessed by a spiritual being at the time when he was in the studio recording Hit Em Up na kwamba huyo kiumbe ndie alie kuwa akiongea kwenye wimbo huo.Ziko nyimbo au ala za mziki Fulani Fulani zikipigwa na ukiwa "high" na "concentration" ikiwa ya juu unaweza kuhisi kama Kuna Hali si ya kawaida chumbani aidha Kuna mtu au watu wamekuzunguka au watu wanatembea sometimes hata kubadilika Kwa Hali ya hewa ghafla tu nk. Mziki au kinachohusiana nacho huwa kinagusa sana ndani na hufunua vitu sometimes visivyopaswa kufunuliwa.
🤣🤣🤣🤣🤣You already know.
Tema mate chini mkuuPepo hawapo duniani, huyo jamaa yenu kawaingiza chaka bovu
Nimeenda Tiktok huko naona wazungu wanamkubalia vibaya mno mpaka wanugu nao wanakubaliana na hoja zakeUpo sahihi but ukitazama video za huyu jamaa huwezi kupingana nae hata kidogo. Ame elezea vizuri sana kwamba Tupac Shakur was actively possessed by a spiritual being at the time when he was in the studio recording Hit Em Up na kwamba huyo kiumbe ndie alie kuwa akiongea kwenye wimbo huo.
Ila huko Tiktok naona wazungu kwa wamarekani weusi wanamkubali Sana huyu jamaa wanasema hoja zake zina mashiko kwa asilimia zote na vitu anavyo ongea vina make a lot of sense kwenye hoja zakeYou already know.
Mimi nimejikita kwa mtoa madaMada Ina muhusu Tupac