Video: Rapper Tupac alikuwa amepandwa na pepo wakati yupo studio ana rekodi wimbo "Hit Em Up"

Ni wapi haukuelewa ulipoambiwa changanya na zako ?

Mwenzako ana motive ya kupata clicks na kunufaika na kitabu chake wewe unless unakuwa entertained na hizo story basi wewe ndio bidhaa...
 
Watu waliandaa mistari na beat mnasema walipandwa pepo!!?
Asante kwa swali zuri mkuu.

1. Tupac mwenyewe anasema hakuandika Hit Em Up. He said " It just popped up when we was in the studio".

2. Eid I mean anasema walipokuwa studio Tupac was acting very strangely and very strange things happened in the studio even the engineers were buffed cause it had never happened before. Anasema alihisi kabisa kwamba something spiritual was going in the studio. Akasema Tupac was spiritual that night. Alipoulizwa je anadhani ilikuwa ni ishara ya kuwepo kwa nguvu ama viumbe wa kiroho Ndani ya studio akajibu ndio.

3. Tupac mwenyewe wiki tatu baada ya Hit Em Up kutoka aligundua kwamba hakuwa yeye kwenye WIMBO Hit Em Up but a spiritual being na alikwenda public kulisema hilo, hata wewe ulimsikia akisema ukitazama video za jamaa utajithibitishia mwenyewe beyond reasonable. Pac alivyo ona watu hawajamuelewa kwamba Yule si yeye alipanga kusisititza tena kwa mara ya pili kwa Lugha ya uwazi lakini kabla hajafanta hivyo wakamuua
 
Ni wapi haukuelewa ulipoambiwa changanya na zako ?

Mwenzako ana motive ya kupata clicks na kunufaika na kitabu chake wewe unless unakuwa entertained na hizo story basi wewe ndio bidhaa...

Tatizo la mwafrika kujifanya anajua kila kitu wakati hajui.

Nani alikwambia clicks zinalipa?

Huko Tiktok wazungu na wamarekani weusi wanakubaliana na jamaa wanasema yupo sahihi kwa asilimia zote wewe unawaza kupigwa.

Masikini huwa wanawaza kupigwa tu.
 
Asante kwa swali zuri mkuu.

1. Tupac mwenyewe anasema hakuandika Hit Em Up. He said " It just popped up when we was in the studio".

2. Eid I mean anasema walipokuwa studio Tupac was acting very strangely and very strange things happened in the studio even the engineers were buffed cause it had never happened before. Anasema alihisi kabisa kwamba something spiritual was going in the studio. Akasema Tupac was spiritual that night. Alipoulizwa je anadhani ilikuwa ni ishara ya kuwepo kwa nguvu ama viumbe wa kiroho Ndani ya studio akajibu ndio.

3. Tupac mwenyewe wiki tatu baada ya Hit Em Up kutoka aligundua kwamba hakuwa yeye kwenye WIMBO Hit Em Up but a spiritual being na alikwenda public kulisema hilo, hata wewe ulimsikia akisema ukitazama video za jamaa utajithibitishia mwenyewe beyond reasonable. Pac alivyo ona watu hawajamuelewa kwamba Yule si yeye alipanga kusisititza tena kwa mara ya pili kwa Lugha ya uwazi lakini kabla hajafanta hivyo wakamuua
Mashairi yaliandaliwa yale, ndiyo maana yana vina na mizani
 
What do u know about spiritual possession?

Umewahi kuwa msanii wa muziki?
Unajua jinsi wasanii wanavyo rekodi nyimbo zao?

Kwani unadhani mashairi kuwa na vina na mizani ndio kunaondoa spiritual possession?

Au umechanganya mades inafikiris asanii wote walikuwa possessed?

Alie kuwa possessed ni Tupac sio hap wengine.

Eid I mean anasema, 👇👇

1. Wazo la kurekodi huo wimbo lilikuja ghafla.

2. Tupac hakuwa na mpango wa kuendelea na wimbo baada ya verse ya kwanza.

3. Lakini baada ya verse ya Hussein Fatal, ghafla Tupac akaenda kwenye booth.
 
Tatizo la mwafrika kujifanya anajua kila kitu wakati hajui.
Nope nimekwambia changanya na zako
Nani alikwambia clicks zinalipa?
Unadhani kama clicks / views zingekuwa hazilipi wewe leo ungetumia whatsapp bure (walioanzisha walitaka iwe bure) ingawa facebook kanunua na hajaifanya ulipia sababu ya community / users kwahio akipata interest zako huku anakutarget na matangazo facebook (yap clicks viewers ndio biashara yenyewe); kama akaunti yako inasoma nil au wewe ni influencer unategemea unainfluence nani ili anunue vitu ?
Huko Tiktok wazungu na wamarekani weusi wanakubaliana na jamaa wanasema yupo sahihi kwa asilimia zote wewe unawaza
Kwahio sababu wazungu na wamerakani weusi wamekubaliana na hilo basi na wewe usichanganye na zako ulibebe zima zima...

2Pac alihisi kusalitiwa; 2Pac alikuwa kama a dog with a bone akishangangania kitu halikuwa hataki kuachia hata kama hakina ukweli..., 2Pac was shot alivyokuwa anatoka studio ya waliyokuwepo kina Biggie kwahio mwanzo alidhani Big alihusika lakini hata baadae kujua kwamba ilikuwa sio hakutaka kuachana nayo Bifu lilishakuwa kubwa na ndio hivyo; Muda wote alivyokuwa Jela 2Pac alikuwa anapanga kushusha nyimbo kwahio alivyotoka alikuwa kama a man possessed ni kushusha mistari kama mafuriko...

Sasa kama wewe unaamini pepo ndio mtunzi ni wewe ila changanya na zako sio sababu fulani kasema ulibebe kama kasuku
kupigwa.

Masikini huwa wanawaza kupigwa tu.
Nimekwambia unless wewe haya ndio mambo yako ya kusadikika na kuchukua vitu vya kuokota okota (fair to you) ila kama unatafuta ukweli na sio entertainment (facts) kumbuka wewe ni mmoja wa bidhaa za huyo mdau (kama tu ilivyo wale walokole kwenye makanisa ya kina kiboko ya wachawi)
 
What do u know about spiritual possession?

Umewahi kuwa msanii wa muziki?
Unajua jinsi wasanii wanavyo rekodi nyimbo zao?

Kwani unadhani mashairi kuwa na vina na mizani ndio kunaondoa spiritual possession?

Au umechanganya mades inafikiris asanii wote walikuwa possessed?

Alie kuwa possessed ni Tupac sio hap wengine.

Eid I mean anasema, 👇👇

1. Wazo la kurekodi huo wimbo lilikuja ghafla.

2. Tupac hakuwa na mpango wa kuendelea na wimbo baada ya verse ya kwanza.

3. Lakini baada ya verse ya Hussein Fatal, ghafla Tupac akaenda kwenye booth.
2005-2017 nilikua naishi studio ya audio na video
 
Nope nimekwambia changanya na zako

Mkuu unaniona mimi kiazi kiasi hicho? Am not a gullible person. I know what I know.
Unadhani kama clicks / views zingekuwa hazilipi wewe leo ungetumia whatsapp bure (walioanzisha walitaka iwe bure) ingawa facebook kanunua na hajaifanya ulipia sababu ya community / users kwahio akipata interest zako huku anakutarget na matangazo facebook (yap clicks viewers ndio biashara yenyewe); kama akaunti yako inasoma nil au wewe ni influencer unategemea unainfluence nani ili anunue vitu ?

Aisee so wewe hutaki mwenzako apate clicks? You are a negative person.
Kwahio sababu wazungu na wamerakani weusi wamekubaliana na hilo basi na wewe usichanganye na zako ulibebe zima zima...

Kwa sababu points za jamaa zina logic
2Pac alihisi kusalitiwa; 2Pac alikuwa kama a dog with a bone akishangangania kitu halikuwa hataki kuachia hata kama hakina ukweli..., 2Pac was shot alivyokuwa anatoka studio ya waliyokuwepo kina Biggie kwahio mwanzo alidhani Big alihusika lakini hata baadae kujua kwamba ilikuwa sio hakutaka kuachana nayo Bifu lilishakuwa kubwa na ndio hivyo; Muda wote alivyokuwa Jela 2Pac alikuwa anapanga kushusha nyimbo kwahio alivyotoka alikuwa kama a man possessed ni kushusha mistari kama mafuriko...

Haya ni kuongea kweli? Mbona kila mtu anayajua yote hayo? Jamaa ameandika kuhusu tusiyo yajua kuhusu wimbo Hit Em Up. Ndio maana kitabu chake amekiita " Spiritual Aspect of the Song Hit Em Up"
Sasa kama wewe unaamini pepo ndio mtunzi ni wewe ila changanya na zako sio sababu fulani kasema ulibebe kama kasuku

Nimekwambia unless wewe haya ndio mambo yako ya kusadikika na kuchukua vitu vya kuokota okota (fair to you) ila kama unatafuta ukweli na sio entertainment (facts) kumbuka wewe ni mmoja wa bidhaa za huyo mdau (kama tu ilivyo wale walokole kwenye makanisa ya kina kiboko ya wachawi)

🙏🙏🙏🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom