LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,943
- 37,839
Fact500% correct
Fact500% correct
Kwamba analiwa kwenye bando?Shughulisha kichwa zaidi
You are the true daughter of your father.Wabongo ama sijui niseme binadamu wengi sio watu wakuchambua mambo aisee! Watu wanaongelea kama vile mna m-diss 2pac ama mna m-prove kwamba hakua bora!
HIvi watu huwa wanashindwa kuchananua neno moja moja bila kuipa maana sentensi nzima? Mimi binafsi sijataka hata kujua nini ni nini ila nmezingatia maelezo na yamenifikirisha mana kuna muda hata sisi binadamu huwa tunapandwa na hizo pepo bila kujua unajikuta kuna mambo unaongea kwa akili ya kawaida unaona kabisa hapana huu ufikiri kuna muda kama uliongezeka zaidi. Sema watu wengi hatufatilii hivi vitu
Na hizi ndio Moja kati ya sababu ambazo zime mmotivate Mwandishi wa kitabu kutoa kitabu hicho.You claim to be a player,but I fuc your wife.kwa huo wimbo huu mstari huwa naukubali,Kuna snich boya flani nilimfanyia hivi.
Ooh, ok angalau anapata views.Kitabu ni bure sema kipo kwenye mfumo wa video lectures
Ndo hivyo Dada ake.Duh aiseee
Nani alikudanganya views zinalipa?Ooh, ok angalau anapata views.
Unaposema Kulipa tafsiri yako ni ipi boss? Kwa tafsiri yangu viewers zinalipa sababu zinakupa umaarufu.Nani alikudanganya views zinalipa?
Pepo huyo ndie aliekuwa anaongea kwenye wimbo " Hit Em Up" Kupitia midomo na sauti ya Tupac.
Haya si maneno yangu bali nimeyakuta huko TikTok.
Mtoa hoja hii anasema yeye ni mtaalamu wa Sayansi na Sanaa ya Lugha za kiroho.
Vile vile ni mtaalamu wa Sayansi na Sanaa ya kusoma Sauti za ndani za watu, vitu, wanyama, viumbe wa kiroho na matukio mbalimbali.
Anasema ameya study maisha na muziki wa Tupac Shakur na Notorious BIG kwa much wa miaka 20 na ame u study wimbo " Hit Em Up" Kwa miaka 20 na kupitia taaluma yake ya " Sayansi na Sanaa ya Lugha za Kiroho " Pamoja na " Sayansi na Sanaa ya Kusoma Sauti za Ndani" amegundua kwamba, mwaka 96 wakati Tupac yupo busy studio ana rekodi wimbo " Hit Em Up", Tupac alikuwa amepandwa na pepo na kwamba pepo huyo ndie alie kuwa akiongea kwenye wimbo " Hit Em Up" Kupitia Sauti ya Tupac.
Anasema kupitia taaluma yake ya Sanaa na Sayansi ya Lugha za kiroho, pamoja na Sanaa na Sayansi ya Sauti za Ndani, amethibitisha pasi na Shaka yoyote ile ( Proving beyond any reasonable doubt) kwamba wakati Tupac Shakur anarekodi wimbo " Hit Em Up" alikuwa amepandwa na pepo na kwamba ukiyaondoa maneno 25 pekee, maneno yote kutoka kwenye kinywa na sauti ya Tupac Ndani ta wimbo Hit Em Up, ni maneno ya pepo huyo kupitia kinywa na midomo ya Tupac.
Vile vile anasema anatoa tafsiri ya kina la kila neno kutoka kwenye kinywa na sauti ya Tupac Shakur Ndani ya wimbo Hit Em Up.
Na katika kuonyesha kwamba anajiamini kwenye hoja yake anaachia kitabu ambacho kitakuwa katika mfumo wa video ambazo atazipost kupitia You Tube Channel yake.
Kule Tik tok amesema hizo video za kitabu chake ambacho amekipa jina " Spiritual Aspect of the Song Hit Em Up" Ataanza kuziachia rasmi tatehe 16 June 2025 ambayo tarehe 16 June ni birthday ya Tupac.
To what extent do u agree with him?
Nieambatanisha na video 👇👇👇
View: https://youtube.com/watch?v=iElmWms5ICs&si=ZzNZOeUlzVAeULlA
Ur still a learner bro. Hivyo ulivyo viandika kila mtu anavijua. Jamaa anavijua Mara Mia kuliko wewe. Vyote hivyo kavielezea from a spiritual perspective. Hata Tupac kwenda jela was a spiritual thing and it has its spiritual meaning and interpretation. Jamaa ka elezea vizuri sana. Wewe subiri kuanzia tarehe 16 June 2025 anaanzia kuachia video rasmi za kitabu chake " Spiritual Aspect of the song Hit Em Up". By now anapost teasers. Ukiona mpaka mbishi kama mimi nimekubali hoja za jamaa basi jua jamaa ana kitu kikubwa sana ndani yakeWala Hakuwa na Pepo ila hamjui tu yaliyomtokea 2pac sio katika maisha tu hapana ..katika maisha yake ya muziki...
1.Chinno Xl
2.Mobb deep
3.lil Kim
4.junior Mafia
5.BIG
6.Pdidy
7.Lil Ceaser
Hapo kwenye nyimbo alieonewa ni Lil Kim na Junior Mafia basi..maana hawakufanya kitu..Lil Ceaser alikua anampenda pac ila alikua wrong side..
Jayz Hakuwemo humu ila alichanwa kwenye when we ride our enemies..!
Mtu kama Ll cool J alikua ana maringo lkn mbona Pac hakumchana? Eleweni kuwa!
1.Walimpiga risasi Quad studio (Setup) Puff dady
2.Wakaicopy Album yake Akiwa jela-BIG
3.Wakamsingizia vibaya kwamba alibakwa Jela (Chino Xl)
4.Mobb Deep wakamdiss
5.Lil Ceaser alimpigia simu Pac wakati Anajua anakuja kupigwa risasi..
Kwahiyo hakuna cha kuwa posessed na mapepo wala nini..mbona kina Nas hawakuguswa! Walistahili kupata walichopata maana walichokoza wakajibiwa !
Shida ni kwamba haikua Diss track ila ilikua nyimbo ya kila kitu kilisemwa ukweli...Kumbuka nyimbo hata beat Haijaanza...linasemwa neno..I JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala ur bitch you Fat Mutherfucker...! Hiyo ni Intro tu...! Sio mapepo ni mtu anarelease Anger yake kwa sanaa ya muziki kupitia ukweli...mniambie kipi kimeimbwa pale sio cha kweli..!
Wewe ndo upo ignorant ndio hujui kinacho zungumziwaToo much ignorance in one post.
Hujui hata kinacho ongelewa mkuu. Ni kama vile hii sio fani yako.2pac hakupandwa na kitu chochote acheni kudanganyana mwimbo umeimbwa na wakina Gadaffi,Iddi Amin,Castro na Sadam haya ndio majina ya vijana aliwabatiza majina mengine na wengi wao waliuawa kwa kifo cha risasi kama kaka yao hao vijana wa outlaws Mzee baba alikua anaimba unaweza kudhani sio yeye kumbe ni akili za ziada za baadhi ya watu mkitoka hapo mtakuja kwenye kipaji kingine Nesta Marley mtasema pepo kabisaa lile na zile Rasta..
Amini kwamba he was possessed. J spiritual being ndio alikuwa anazungumza kupitia midomo na sauti ya Tupac. Ukitazama video za jamaa ndio utaelewa vizuri zaidi. Jamaa kataja mpaka jina la huyo spirit na katoa sababuHakuwa Ameongea Pepo wala Shetani Ila Tupac Alikuwa Ametap Into Spiritual Realm Kipindi anaandika Hiyo nyimbo..
Means Kweli hayakuwa Maneno Yake ila Hakuwa Shetani Pia ila Uhakika Ni kwamba Hayakuwa Maneno yake ila Ni Kutoka Spiritual Realm